Mikopo Wanafunzi Wa Diploma

Daniel Schoter

Senior Member
Jan 12, 2017
114
64
Wakuu salama humu, Ivi inshu ya mikopo kwa Wanafunzi wa diploma imeishia wapi je itahusu pia watu wa Diploma wanaondelea , Course zipi zitapewa kipaumbele wakuu
 
Mwezi januari Ndalichako aliahidi hilo,kozi ambazo ni za kipaumbele tu ndizo zitahusika yaani Uhandisi,Uchoraji ramani za majengo,Udaktari,Ualimu nk.
 
Mwezi januari Ndalichako aliahidi hilo,kozi ambazo ni za kipaumbele tu ndizo zitahusika yaani Uhandisi,Uchoraji ramani za majengo,Udaktari,Ualimu nk.
Sasa boss ambao ni continue students tutanufaika mfano ambao Academic year inaanza Mwezi wa nane
 
Kama hukusoma sayansi jitoe kabisa kama mkopo watatoa... According to alietoa tamko..(sio mimi)
 
Jinsi wanavyo kata hizi % za mikopoa, usitamani kabisa.
I stand to be corrected
 
mkuu kiukweli mnastahili mkopo..lkn iwe kwa mtu angalau aliepata c 2 o*level na kuendelea siyo umepata D 4 afu unataka mkopo.
 
Back
Top Bottom