Mikopo kwa wafanyabiashara na watumishi wa umma kulipia ushuru bandarini na kuagiza magari toka nje ya nchi

Mikopo kwa wafanyabiashara na watumishi wa umma kulipia ushuru bandarini na kuagiza magari toka nje ya nchi

MR KWACHA

Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
84
Reaction score
73
UZI MAALUMU WA MIKOPO KWA WAFANYABIASHARA, WATUMISHI WA UMMA, KUAGIZA MAGARI TOKA NJE YA NCHI NA KULIPIA USHURU BANDARINI.
Habari

Katika utafutaji wa maisha wa kila siku pesa limekuwa jambo kuu na la msingi ambalo mtu analihitaji katika kutimiza shida zake na mipango yake. Kwa kulitambua hilo nimeamua kufungua Uzi huu maalumu Kwa ajili ya kutoa huduma ya mikopo Kwa makundi mbali mbali na uhitaji wao huku nikiweka mazingira wezeshi katika upatikanaji wa MIKOPO KWA kila mtu.

Mikopo Kwa wafanyabiashara
Katika kundi hili mtu yeyote yule anayejihusisha na biashara ana nafasi ya kupata mkopo aidha awe mfanyabiashara mkubwa au mdogo, wamiliki wa viwanda vidogo na vya kati, makampuni ya usafirishaji na usambazaji wa bidhaa, shule na vyuo binafsi. Mfanyabiashara ana uwezo wa kukopa kuanzia milioni moja hadi billion Moja

Mikopo Kwa watumishi wa umma.
Katika kundi hili mtu yeyote ambayo anafanya KAZI serikalini ana nafasi ya kukopa Hadi million 20, jambo la msingi awe amejiunga kwenye mfumo wa CS

Mikopo ya kulipia ushuru bandarini.
Huu ni mkopo maalumu Kwa ajili ya watu au makampuni ambayo yameagiza magari Toka NJE ya nchi na yanahitaji pesa ya kulipia ushuru bandarini, kiwango Cha kukopa mkopo wa kulipia ushuru kinaweza fila asilimia 80-100 ya gharama za ushuru kitokana na aina ya gari na seta za kampuni za wakati huo
Mikopo ya kuagiza magari toka nje ya nchi

Katika mikopo hii kampuni inakopesha mteja asilimia 50-55 ya Bei halisi ya gari na gharama zote, ingawa mteja anaweza omba kukopeshwa zaidi ya asilimia 55
Kiufupi
  • Kiwango Cha kukopa mkopo kinaanzia milioni moja hadi billion Moja
  • Mdhamana ni hati ya nyumba au Kiwanja Toka serikalini au KADI YA GARI
  • Muda wa mkopo ni kuanzia miezi 3, miezi 6 miezi 12 na miezi 24
  • Riba ni kuanzia asilimia 2.5 Hadi 3.5 kulingana mkopo husika
Katika Uzi huu nitakuwa nikikuletea matangaxo mbali mbali na taarifa muhimu kuhusiana na huduma zetu za mikopo Kwa wafanyabiashara watumishi wa umma, kulipia ushuru bandarini na mikopo ya kuagiza magari toka nje ya nchi.
Kwa mawasiliano
zaidi
0686153806
 
Kama una mpango wa kujjenga nyumba na haujui utoe wapi pesa karibu ukope kwetu
 

Attachments

  • Black and White Simple Car Loan Company Services Instagram Post_20251013_131607_0000.png
    Black and White Simple Car Loan Company Services Instagram Post_20251013_131607_0000.png
    1 MB · Views: 13
JE wew ni mjasiriamali na unahitaji pesa Kwa ajili ya kukuza au kuanza biashara Yako
Wasiliana NAMI nitakuaaidia kupata mkopo wa pesa Kwa riba nafuu na Kwa haraka
 

Attachments

  • Black and White Simple Car Loan Company Services Instagram Post_20250925_192948_0000.png
    Black and White Simple Car Loan Company Services Instagram Post_20250925_192948_0000.png
    485.1 KB · Views: 10
Tunàkaribisha makampuni ya usafirishaji na usambazaji wa bidhaa kuja kukopa
Mkopo unaaanzia milioni moja hadi billion Moja
Muda wa marejesho ni miezi mitatu Hadi miezi 24
Mdhamana wake ni Kiwanja àu nyumba vyenye hati na KADI YA GARI
 

Attachments

  • Black and White Simple Car Loan Company Services Instagram Post_20251013_131245_0000.png
    Black and White Simple Car Loan Company Services Instagram Post_20251013_131245_0000.png
    1 MB · Views: 10
Mikopo Kwa makampuni ya usafirishaji na usambazaji wa bidhaa
 

Attachments

  • Black and White Simple Car Loan Company Services Instagram Post_20251013_131406_0000.png
    Black and White Simple Car Loan Company Services Instagram Post_20251013_131406_0000.png
    546.7 KB · Views: 9
  • Black and White Simple Car Loan Company Services Instagram Post_20251013_131059_0000.png
    Black and White Simple Car Loan Company Services Instagram Post_20251013_131059_0000.png
    1.3 MB · Views: 8
  • Black and White Simple Car Loan Company Services Instagram Post_20251013_131157_0000.png
    Black and White Simple Car Loan Company Services Instagram Post_20251013_131157_0000.png
    1.2 MB · Views: 7
Mikopo yenye Riba ni Haramu. Mimi napenda Benki ya Watu wa Zanzibar haitoi mkopo wa riba, ila mnakubaliana kufuata misingi ya imani
Hakuna Bank isiyo na Riba hata iwe AMANA, labda mkopo wa HALMASHAURI.

Utapewa jina tofauti la Riba, itaiywa FAIDA.
 
M8kop kwa watumishi wa umma
Hii ni mikopo ambayo mteja anaipata Kwa uharaka na Kwa riba nafuu zaidi ya namba ya account password na username kwenye mfumo wa CS
Mteja ana uwezo wa kukopa mpaka milioni 20

0686153806
Karibu sana
OZB platinum credit agent
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom