Mikopo kwa continuous students

Mikopo kwa continuous students

kunta93

JF-Expert Member
Joined
Nov 9, 2015
Posts
770
Reaction score
1,657
Kuna continuous students yoyote ambaye amekwisha pata mkopo mwaka WA 2015/2016??au kama Kuna mtu WA bodi au ameshawasiliana na bodi ya mikopo juu ya hili swala naomba atujuze...
 
UDSM wametoa majina machache sana tena ya college moja..
 
Kuna continuous students yoyote ambaye amekwisha pata mkopo mwaka WA 2015/2016??au kama Kuna mtu WA bodi au ameshawasiliana na bodi ya mikopo juu ya hili swala naomba atujuze...
Kwa lugha hii nakubali elimu imeshuka sana.
 
Mbona kunavyuo tumekula pesa adi imeisha tunasubria kusign boom la pili.
 
Nasikia 19 tuuu... Ila nimesikia hawakupeleka baadhi ya majina heslb.. daaah hawa maloan oficer hawako fair hata kidogo.. wanahitaji sisi tuishi vipi!!

asa mbona tulisign form zile asa kwanini wasipeleke mengine
 
Kuna continuous students yoyote ambaye amekwisha pata mkopo mwaka WA 2015/2016??au kama Kuna mtu WA bodi au ameshawasiliana na bodi ya mikopo juu ya hili swala naomba atujuze...
Jumatatu twendeni bodi tujue kama taarifa zetu za chuo kama zimefika bodi maana hawa maloan officer huwa hawapeleki majina kule.... yaan wanazingua sanaaaa cjui wanataka tusome vp.. haswa loan officer wa UDSM..
 
ni pm namba yako mkuu
 
Back
Top Bottom