Mikopo kwa continuing students


hapo umekosa ndugu,pole xana subir kuappeal au kuomba tena next year
 
kuweni tu na subira wakuu bila shaka next week tutajua mbivu na mbichi
 
Nilienda kuuliza kwa loan oficer chuo nikaambiwa majina ya continuing bado.
Ilikuwa alhamis this week
 
continuing hua wanachelewa kutoa majina hivyo subr hadi chuo kifunguliwe bt uwe makin sana kwa ufuatiliaji bt upo chuo gan?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…