Mikopo Kausha Damu

Mikopo Kausha Damu

Unakopa halafu unalipa kila siku alooo kweli hio ni kausha damu
 
Bora Mwananchi wameona umuhimu wa kulisema hili jambo kwani BOT na serikali wamelala usingizi
Assume sasa hizo taasisi zikaondolewa kabisa, hao wakina mama wakaanga mihogo huko njiani wataendeshaje biashara zao?
 
Back
Top Bottom