Songambele
JF-Expert Member
- Nov 20, 2007
- 4,725
- 2,606
200000+ installment 3, leo ya pili moja last weekHapo ulikopa sh ngapi?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Aloo,mi nilibugi nikaandika namba za watu wangu wa karibu kama wadhamini,mbona wanakiona Cha moto! Mi wakinipigia nablock muda huo huo! Walinipa mkopo maelekezo nilipe ndani ya mwezi 1 Cha ajab hata week haijaisha wanapiga sim na kutuma mameseji Yao sa kumi na Moja alfajir!Dunia tambara bovu na vituko haviishi na kila kukicha ni vuta nikuvute. Miaka ya hivi karibuni kumekuwa na wakopeshaji wa kidigital ambao si haba wanaongezeka kila kukicha.
Branch... Nawavulia kofia wako vizuri, Salute kwao.Hao Ni SINGULARITY MICRO FINANCE na hao pia wananidai. TALA walinidaiii mpaka wakanyoosha mikono, nadhani wamefilisika maana mwaka na ushee sijapata simu Yao.
Branch siku hizi wamekua wajanja Sana. Huchomoki lazima ulipe na hawatumii matusi. Wako more professional sio Kama singularity walio ajiri visichana vya Mbagala. Qualification Ni matusi. Ngoja matusi yalipe madeni.
Siku hizi wamekuwa wajanja sio kama kipindi kile, sahivi ukikosea tu kidogo wanasema ombi lako limekataliwa au ndo wanakupa hizo siku, ikifika tena wanaongezaBranch unakopaje? Mbona Mimi naambiwa nisubiri siku 7
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji38][emoji38][emoji38]Aloo,mi nilibugi nikaandika namba za watu wangu wa karibu kama wadhamini,mbona wanakiona Cha moto! Mi wakinipigia nablock muda huo huo! Walinipa mkopo maelekezo nilipe ndani ya mwezi 1 Cha ajab hata week haijaisha wanapiga sim na kutuma mameseji Yao sa kumi na Moja alfajir!
Aloo kama hauna uvumilivu unaweza kupata unapata stress na kuwajibu vibaya! Mbaya zaidi hawana kauli nzuri ni misuto na michambo tu,mi wakinipigia nkawaambia saiv Sina pesa kistaarabu tu,jibu lake sasa we kaka acha ubabaifu lipa pesa ya kampuni,ungekua huna pesa ulikopa Ili iweje? Sa kumi ikifika kama haujalipa tutakuletea barua ya wito!
Kuna lidada lingine liliwahi nidanganya lipa iyo 23k af tukupe mkopo wa 90k baada ya kulipa hakupokea Tena sim zangu,nikachukua Tena mkopo wa 29k kiasi walichotuma ni 20k riba afu 9..aloo sidhani kama nitawalipa Kwa muda ..tutasumbuana sana tu