Moise Aimar
JF-Expert Member
- Sep 26, 2012
- 583
- 922
Seriously?..mhitimu?how can you ask this(no offense)!
Popote pale mtu anaweza kuanzia maisha, inategemeana na
-bidii katika shughuli/kazi yako,
-uchangamkiaji wa Fursa/nafasi mbalimbali(kutosubiri kuambiwa kuna nafasi fulani unaweza fanya kazi hii).
-Upatikanaji wa huduma za kijamii.
-n.k
Nasema hivi kwa sababu unaweza kwenda mikoa idhaniwayo kuwa gharama ya maisha iko chini mf. Mbeya, Singida, mikoa ya Kanda ya ziwa n.k lakini "kubweteka" na kutozingatia vitu kadhaa nilivyotaja juu(pamoja na mengine kukafanya usifanikiwe. na pia mikoa inayoogopwa kwa gharama za kimaisha mf. hapa Dar es salaam, Arusha n.k ukaiogopa lakini kwa kujua utaishie/kuchangamkia fursa zaidi kukaffanya upanue wigo wa kimaisha na kimaendeleo pia.
Swali la msingi ni unataka kujishughulisha na nini, kwa ushauri wangu bidii ya kazi(na hasa kazi zaidi ya moja) matters hapa.
kigomahabari wanajamii. Mimi ni mhitimu wa chuo kukuu ktk kitivo cha elimu, naomba mnipe ushauri kuhusu mikoa ya tanzania ambayo mtu anaweza kuanzia kufanya kazi na kufanikiwa kimaisha. Asanteni sana na mungu awabariki, naombeni ushauri wa kunijenga tafadharini sana ndugu zangu!
kama wewe ni mtu unaetaka maendeleo kwa kujituma, mikoa hii ni wewe kwenda, !. Rukwa, Katavi, Shinyanga na miko mipya iliyoanzishwa.
note, endapo hutoki katika moja ya mikoa hiyo.
Habari wanajamii. Mimi ni mhitimu wa chuo kukuu ktk kitivo cha elimu, naomba mnipe ushauri kuhusu mikoa ya Tanzania ambayo mtu anaweza kuanzia kufanya kazi na kufanikiwa kimaisha. Asanteni sana na mungu awabariki, naombeni ushauri wa kunijenga tafadharini sana ndugu zangu!
Njoo chugga
Hapo kwenye wekundu naona umeniacha kwa "Mbauda"!.meelezee.....aje tule pesa ya jiwe na sharubu.....
Hapo kwenye wekundu naona umeniacha kwa "Mbauda"!.
kwa ushuri wangu anzia wilaya mpya ya katavi wewe ndio utaonekana mjanja kule maana sehemu nyingine watu wana degree tatu tatu wewe utakuwa kama makamu wa rais maana rais kule ni pinda.
Habari wanajamii. Mimi ni mhitimu wa chuo kukuu ktk kitivo cha elimu, naomba mnipe ushauri kuhusu mikoa ya Tanzania ambayo mtu anaweza kuanzia kufanya kazi na kufanikiwa kimaisha. Asanteni sana na mungu awabariki, naombeni ushauri wa kunijenga tafadharini sana ndugu zangu!