Na ingekuwepo mmngepiga mayowe ARUSHA imewafanya nini nyie wakulugwa.Arusha haina watu kabisa ,
Au hawakuhesabu vizuri?
Haijakizi vigezo vyakuwa jiji.Ni kipi kinasababisha morogoro isiwe jiji??
Mbona tanga imekuwa jiji kitambo Sana! au sababu hakuna barabara kama za tanga mijini?
Na mbeya nayooo!![emoji848][emoji848]
Kilimanjaro ni ya.19 kama Covidkwetu na arusha hawakuhesabu
Wamejumuisha watu wote wa mkoa mzima mkuu sio manispaa ya Morogoro mjini peke yakeNi kipi kinasababisha morogoro isiwe jiji??
Mbona tanga imekuwa jiji kitambo Sana! au sababu hakuna barabara kama za tanga mijini?
Na mbeya nayooo!![emoji848][emoji848]
Ila unachotakiwa kujua, Siyo miji yenye watu wengi, bali mikoa yenye watu wengi.Ni kipi kinasababisha morogoro isiwe jiji??
Mbona tanga imekuwa jiji kitambo Sana! au sababu hakuna barabara kama za tanga mijini?
Na mbeya nayooo!![emoji848][emoji848]
Wapo mikoa mingine wanafanza biashara.Niko paleee nawasubiri watu wa R chuga waje
Wapo mikoa mingine wanafanza biashar
Maduka makubwa makubwa na madogo mitaani.Utanikuta kwa "arawa" pale nakula kimbo moja ya mbege!Kwan c walisema Chuga ndio kila kitu sasa biashara gan hizo wanafanya mikoa mingne
Geita kuna sehemu inaitwa Katoro na Buseresere watu ni wengi sana hayo maeneoDuuh, kumbe Mwanza ilikuwa na watu wengi kabla Geita haijakatwa
Sis watu wa Mkoa wa kitaliiIfuatayo ni mikoa mitano ( top five) yenye watu wengi zaidi nchini Tanzania
1. Dar es Salaam 5,383728
2. Mwanza. 3,699,872
3.Tabora. 3,391,679
4. Morogoro. 3,197,104
5. Dodoma. 3,088,625
Aidha, hii ndio mikoa kumi yenye watu wengi zaidi nchini Tanzania
1. Dar e Salaam 5,383,728
2. Mwanza 3,699,872
3.Tabora. 3,391,679
4.Morogoro 3,197,104
5. Dodoma 3,088,625
6. Kagera 2,989,299
7. Geita 2,977,608
8. Tanga 2,615,597
9. Kigoma 2,470,967
10.Mara. 2,356,255