Unaujua mkoa wa Geita?
Geita ni Mmoja wa mkoa maskini sanaGeita wapo mbali sn
Njombe uchumi wa mtu mmoja mmoja uko vizuri sana hakuna umaskini wa kutishaBii mikoa 4, yote ninaifahamu in and out. Geita inaweza kukudanganya ukifika tu hapo mjini, ambapo napo mji hauna mpangilio mzuri. Lakini ukienda huko pembeni kwenye wilaya na vijiji vyake, ni hoi bin taabani. Pita hata hiyo barabara ya kutoka Kasamwa nenda Ngoma mpaka Msalala, utaona ilivyo nyuma bado. Simiyu, pita hiyo barabara ya Mwigumbi, Maswa, Dutwa mpaka Lamadi, utauona uhalisia, na hayo ni maeneo ya barabarani, lakini ukiingia ndani huko, ni hoi kabisa.
Njombe, hata vijiji vyake vipo vizuri. Nimepita huko sikuwahi huona nyumba ya miti au tope, nyingi ni matofali ya kuchoma, na kuezekwa bati. Pia watu wao huko vijijini ni wazalushaji wakubwa wa mazao ya chakula na mbao. Njombe, mtu akipata magunia 50 ya mahindi, huyu ni mtu duni sana, wakati Geita na huko Simiyu, ataonekana mkulima mkubwa. Njombe wealth distribution, ni nzuri, huenda kuliko mkoa wowote.
OkGeita ni Mmoja wa mkoa maskini sana
Ni mipya maana ndiyo ya mwisho mwisho kutengwa rasmiSijajua mkoa mpya Unatakiwa uwe na muda gani?
Geita imepewa kuwa mkoa mwaka 2012-2025 miaka 13,bariadi tangu 2018-miaka 7 ni mkoa, jombe vile vile miaka 5+ Sasa sijui umetumia kigezo gani kuita ni mikoa mipya?
Kilichofanya Wanyantuzu wasibalie huko Simiyu ni nini? ππTunawaangalia tu. Ngoja hela turudishe nyumbani ndio mtajua Geita bila wanyantuzu wa Bariadi (Simiyu) hawana biashara wala issue uoyote.
Ngoja tujenge kwanza viwanda nyumbani mtajua baadae
Hii ya ya mbeya kugawa Tena itoe majimbo 2 inaelewekaWataalamu wa kuijua nchi yetu ya Tanzania ni mkoa mpya upi kati ya ifuatayo ambao uko vizuri kimaendeleo au kiuchumi?
1. Simiyu
2. Geita
3. Songwe
4. Manyara
5. Katavi
6. Njombe
Kuna sehemu watu wameukalia uchumi ππKilichofanya Wanyantuzu wasibalie huko Simiyu ni nini? ππ
Ndio maana ya mada kwamba Geita Kuna helaKuna sehemu watu wameukalia uchumi ππ
HApo ni sawa na kisema Goma Congo kuna hela wakati wenye kunufaika wazunguNdio maana ya mada kwamba Geita Kuna hela
Viwanda gani????Manyara itoe maana ni agemate na mishangazi ya humu.
GenZee ni Geita, Njombe, Simiyu, Songwe na Katavi.
Kwa utajiri ama uchumi kuna Geita, Njombe, Songwe.
Hata kibiashara na uwekezaji wako njema.
Kilimo ni Katavi, Njombe, Geita na Songwe.
Ufugaji wa fisi ni Simiyu. kwa upande wa viwanda simiyu wanaweza fika mbali kama wataenda na kasi ya sasa.