Mikoa mipya lini?

Mikoa mipya lini?

Ulimakafu

JF-Expert Member
Joined
Mar 18, 2011
Posts
31,877
Reaction score
13,869
Wanajamvi naomba nijuzwe kuhusu ile mikoa mipya 3 itaanza kuoperate lini kama ambavyo watawala waliamua kutuingezea zigo la uendeshaji.Maana hii iliyopo naona kama ni mzigo pia.

Mwenye taarifa tafadhali.

Nawasilisha..
 
Back
Top Bottom