mh subiri iongezeke upate jibu la uhakika.kwani hata njombe itakuwa mkoa.
<br /><span style="font-family: verdana">Njombe haitakuwa mkoa mkuu...Muunganiko wa Ludewa,njombe na makete ndio watengeneza Mkoa wa njombe.Na kuna wilaya mpya itaitwa wang'ing'ombe itakuwa ndani ya huu mkoa.</span>
wana JF Naomba mnisaidie idadi ya mikoa tuliyonayo kwa sasa.
Njombe haitakuwa mkoa mkuu...Muunganiko wa Ludewa,njombe na makete ndio watengeneza Mkoa wa njombe.Na kuna wilaya mpya itaitwa wang'ing'ombe itakuwa ndani ya huu mkoa.