Mikoa Mipya iko wapi?

ULUMI

Member
May 25, 2011
70
37
Nimekuwa nasikia kuna Mikoa mipya Tanzania bara yaani Njoluma,Katavi na Geita sijui Simiwi ni upi!!Ila sasa nashangaa haipo kiutendaji bali kisiasa zaidi.Hakuna ofisi wala watendaji.Nilitegemea labda serikali ilikuwa inangoja mwaka wa fedha kuanza leo ni wiki ya pili hamna linalozungumzika ,sasa sisi wananchi tulioko huku kwenye Mikoa hii tupate wapi huduma tumwone nani na wapi?
 
Back
Top Bottom