Mikoa Migumu Kutoboa Kimaisha

Kilimanjaro ni vigumu kama huna brain kubwa. Ni sawa na kwenda ku fight maisha Marekani ukadhani ni rahisi.
Kilimanjaro asilimia kubwa sana ni watafuta pesa, sio watumia pesa, hivyo kuwa na kitu Cha kuuza kule kinatakiwa kuwa na demand ya kweli kweli.
 
Rukwa ungeitoa mikoa mingine yote nakubalisna na wewe
 
Wewe umetoboa Kwa lipi kweymkoa.huo wenye watu mafukara na poor purchasing power?
Mkuu punguza ubishiii.
Rukwa unatoboa kirahisi mara 1000 kuzidi Daaaslam.

Tengeneza hata Mkokoteni peleka pale sokoni wanakodisha Vijana wa Kihutu.

Nunua Powertilla somba tofali za kuchoma.

Nenda kule Muzzye anza kupanda Mpunga kwa Wakulima Ekari moja elfu 30.

Rukwa ni rahisi kutoka. Hapo sijagusia kununua Nafaka.
 
Acha mzaha basi Kwa biashara ga I iliyopo mkoa huo? Njoo Katavi utakufa maskini huko Rukwa
 
Ta Bora ngumu kutoboa? Labda huujui kutafuta hela aisee!
 
Hakuna cha brain kubwa...

Ukabila na vijicho kwa wageni ni tatizo hapa Kilimanjaro full stop.
 
Na je hiyo mikoa, Ina wabunge wengi wa vyama pinzani? Au ccm?.Tuanzie hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…