Waganga wameumbwa na Mungu hivyo hadi anawaumba alijua umuhimu wao. Acha kupingana na uumbaji wa Muumba.Mkumbuke muumba wako siku za ujana wako achana na shetani hatakusaidia chochote....
Huyu mzee mshikamano nampataje ndugu yanguWaganga wa kweli hapa tanzania wapo kondoa kwa warangi na ile njia inaenda babati sehemu fulan panaitwa bonga kuna mzee anaitwa mshikamano.....Ila kifupi waganga kwa kweli wapo kondoa irangi na pangani tanga
Morombo sehemu gan bro!!?Njoo hapa arusha kwa mromboo tumalize kazi
Mshana Jr Soma Tena Elli Kirokonya Joseph lebai . Lakini hao ni watoto wadogo sana kwa Mshana JrWaganga wa kweli hapa tanzania wapo kondoa kwa warangi na ile njia inaenda babati sehemu fulan panaitwa bonga kuna mzee anaitwa mshikamano.....Ila kifupi waganga kwa kweli wapo kondoa irangi na pangani tanga