Mikoa ipi ina wataalamu Wa jadi

Mikoa ipi ina wataalamu Wa jadi

Waganga wa kweli hapa tanzania wapo kondoa kwa warangi na ile njia inaenda babati sehemu fulan panaitwa bonga kuna mzee anaitwa mshikamano.....Ila kifupi waganga kwa kweli wapo kondoa irangi na pangani tanga
 
Habari zenu wakuu hivi ni mikoa IPI yenye wataalamu Wa jadi yaani waganga yaani Nina tatizo kubwa waganga wengine hawawezi kunisaidia zaidi wananilia pesa zangu tu. Shida yangu nahitaji mgaga anayeweza kumshikisha adabu mtu maana kila ninapozunguka napewa dawa ya mapenzi yaana mabwana kibao wananisumbua kila nipitapo . msaada wenu iwe kati ya mkoa Wa Dodoma ,iringa ,njombe au mbeya
Una Tatizo gani.mpaka unataka KWENDA kwa Waganga?
 
Habari zenu wakuu hivi ni mikoa IPI yenye wataalamu Wa jadi yaani waganga yaani Nina tatizo kubwa waganga wengine hawawezi kunisaidia zaidi wananilia pesa zangu tu. Shida yangu nahitaji mgaga anayeweza kumshikisha adabu mtu maana kila ninapozunguka napewa dawa ya mapenzi yaana mabwana kibao wananisumbua kila nipitapo . msaada wenu iwe kati ya mkoa Wa Dodoma ,iringa ,njombe au mbeya

Njoo hapa arusha kwa mromboo tumalize kazi
 
Waganga wa kweli hapa tanzania wapo kondoa kwa warangi na ile njia inaenda babati sehemu fulan panaitwa bonga kuna mzee anaitwa mshikamano.....Ila k
kifupi waganga kwa kweli wapo kondoa irangi na pangani tanga
kondoa sehem nyingine wapi ukiacha hko mzee
 
Waganga wa kweli hapa tanzania wapo kondoa kwa warangi na ile njia inaenda babati sehemu fulan panaitwa bonga kuna mzee anaitwa mshikamano.....Ila kifupi waganga kwa kweli wapo kondoa irangi na pangani tanga
Kondoa sehemu gani
 
Mkuu, sijawahi sikia demu analaani kupata dawa sahihi ya kupendwa na kusumbua wanaume.

Umekuwa wa kwanza kukusikia katika maisha yangu.

Lakini mambo ya visasi unataka kujitengeneza kuwa danguro la wachawi.

Hakuna mchawi anayemzidi mchawi mwenziye moja kwa moja.

Ni kama wacheza mieleka! Nguvu sawa lakini wanatoana kwa 'timing' tu.

Unayemuona mchawi dhaifu anaweza akadhoofisha dawa za mchawi unayedhani ndiye mjuzi zaidi, kutokana na 'timing', rasilimali na muda.

Kwa hiyo unakotarajia kurusha kombora, ujue lazima kuna 'patriot'!

Kwa hiyo kama wamejipanga nao watarusha 'scud' kwako waone umejipangaje!

Jiandae kwa lolote, kuua au kufa wewe mwenyewe bila kujali ulidhulumiwa ama unataka kudhulumu.

Hata hivyo kama ni uchawi, utafute hapohapo ulipo upo, siyo lazima uvuke mikoa.
 
Habari zenu wakuu hivi ni mikoa IPI yenye wataalamu Wa jadi yaani waganga yaani Nina tatizo kubwa waganga wengine hawawezi kunisaidia zaidi wananilia pesa zangu tu. Shida yangu nahitaji mgaga anayeweza kumshikisha adabu mtu maana kila ninapozunguka napewa dawa ya mapenzi yaana mabwana kibao wananisumbua kila nipitapo . msaada wenu iwe kati ya mkoa Wa Dodoma ,iringa ,njombe au mbeya
Kwenu Makete kuna akina Mwakipande au pale Njombe maeneo karibia na Mtwango kuna Mwandulami atakusaidia
 
MUNGU MUUMBA MBINGU NA NCHI NDIYE MGANGA WA KWELI PEKEE.

MATHAYO 19:26.

"Yesu akawakazia macho, akawaambia, Kwa wanadamu hilo haliwezekani; bali kwa Mungu yote yawezekana."

LUKA 18:27.

"Akasema, Yasiyowezekana kwa wanadamu yawezekana kwa Mungu."
 
Back
Top Bottom