chagua ccm, chagua umasikini. Nadhani hii ndo iwe kauli mbiu ya 2015
ni kwel nakuunga mkono,ongeza na mkoa wa Mara,
chagua ccm, chagua umasikini. Nadhani hii ndo iwe kauli mbiu ya 2015
Nimefikiri sana na kugundua kua mikoa yote iliyopiga hatua hapo Tanzania,
Nadhani mleta thread alikusudia kusema angalau chadema inaongoza majimbo ambayo yanamaendeleo Tanzania ukizingatia inambunge angalau kila jiji kasoro Tanga!.
Mkombozi hakuna mkoa uliopiga hatua Tanzania, sijui labda neno kupiga hatua lina maana nyingine. Kama ni maendeleo basi mikoa yote wananchi wanazidi kumaskinika.
Ni tathmini yenye makengeza na ya kufikirika. Ni ufinyu wa uelewa na kudhani kwamba kuchagua mpinzani peke yake kunatosha maana ingekuwa hivyo basi Pemba, ambayo toke uchaguzi wa vyama vingi wamekuwa wakichagua wapinzani, ingekuwa kama ulaya. Ni ufinyu kufikiria kwamba Iringa, ambao ni jimbo moja tu ndilo limepata kuchagua mpinzani una maendeleo kwa kuangalia jimbo la Iringa Mjini. What about wilaya nyingine. Na ni kweli kwamba Shinyanga ina maendeleo kuliko Tanga? Ni kweli kwambaKigoma ina maendeleo kuliko Morogoro? Acha upotoshaji wako na huo upembuzi uchwara.
Hasa majimbo yaliyo chini ya Chadema
Kwa kutumia data zipi? Kimaendeleo au kujazana mikutanoni?Endeleeni kupiga kelele,mikoa yenye wanaume na wanawake wa ukweli ni Kilimanjaro,MBEYA,arusha.mwanza kigoma,MARA,Mikoa mingine watu wanan'gaa sharubu tu!