Sigonella Island
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 13,471
- 40,829
Ila tabora Ina wanawake wazuri wana matako dah aise waliopo huko wanafaidi sana1.MARA
Hadi Leo wanatumia probox namba A kama daladala
Wakazi WA huko Wana hasira muda wote wapo kisharishari
Walimu WA wengi WA shule za vijijini wamepanga mjin asubuhi wanawasha mapikikipi wanapakizana wawili wanaenda shule
2-SIMIYU
Population ni kubwa sana uchumi umedorora Kila familia ina mganga wake wakazi washazoea shida kwa iyo furaha kwao ni shida.
3-Mtwara na Lindi
Sehemu kubwa ni pori lenye maadhi ya jangwa vijana wengi wamekimbilia dar wamebaki wazee .
4-TABORA
hakuna Cha maana Tabora zaidi ya nyumba kuukuu
Maisha ni duni hakuna center nzuri
Anaongelea maendeleo ya mikoa; sio watuOk
Mkuu kwako Maendeleo ni kitu gani?
Maendeleo unayapima kwa kipimo gani?
Je maendeleo ni majengo?
Je maendeleo ni pesa?
Je maendeleo ni barabara?
Je unaongelea maendeleo ya mtu binafsi?
Je maendeleo huletwa na nani?
Je wewe umekaa unasubiri maendeleo yaonekane huko kwenu?
Labda nikusaidie maendeleo yanatafsiriwa kwa kutumia kanuni za uchumi ambazo pia zina mapungufu
Maendeleo hupimwa kwa pato la Taifa (GDP) ambalo sasa unaweza kujua kila mkoa au sekta imechangia kwa kiasi gani? Na pia unaweza kugawa pato la Taifa kwa idadi ya watu ukajua maendeleo yapo vipi?
Mfano maeneo yenye mali ghafi na viwanda n i rahisi kuona yamechangia pato kubwa kwa Taifa,Lakini tukiligawa kwa idadi ya watu wa eneo hilo yawezekana kuna umaskini wa kutisha
Mfano ,Mtwara kuna bandari na kuna kiwanda kikubwa cha cement ,Pia ndiko kuna korosho zinazoingiza pesa za kigeni ,Je mapato ya bandari ya mtwara na mapato ya korosho ni kiasi gani?
Baada ya sensa serikali ilitoa report ya maendeleo pia,Je hiyo miko ipo?lakini moja ya maeneo yenye hali mbaya ni Bukoba hiyo nina uhakika na niliona kwenye report ya takwimu
Mbeya jijo ina pato kubwa ,Je ukiona watu wa Mbeya wana maisha mazuri na wana maendeleo ?
Dar es Salaam pi ina pato kubwa ,Je ina maendeleo na watu wake wengi wanaoshindia mihogo unasemaje?
Hata hiyo probox haifahamu mkuu.kichwa chako siyo kizima. probox yenye namba A inaweza kutembea kwenye rough road?
umesimuliwa huu ujinga
mi nipo hapa tarime ,asilimia 90 ya probox zinatoka tarime kwenda nyamongo na sirari zina namba E
chache zina D
Au unaongelea Mara ipi mkuu
Hahahaha . Nmefikaa itilimaa...daah kwa kweli hapanaKuna mtu humu aliandika mkoa wa Simiyu Wilaya Ya itilima , inakadiliwa kua na wachawi/waganga wengi kuliko idadi ya watu wanaoishi.
Kwa hiyo Tanga tumeizidi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]maana sielewiKuna mtu humu aliandika mkoa wa Simiyu Wilaya Ya itilima , inakadiliwa kua na wachawi/waganga wengi kuliko idadi ya watu wanaoishi.
Ongea vizuri na GENTAMYCINEInabidi nihamie Mara 'niwapelekee' maendeleo.
Wajengewe reliMtwara na lind ,ni seasonal pesa mpaka msimu wa korosho.
Mh.Bushungwa kasema ile barabara wahusika hao Tanroad hawapo ,wanaishi Dar vituo vyao vya kazi ni Lind.
Hazilipi labda traffic wazipige marufuku hizo probox.basi peleka marcopolo G7 kama 5 tu zikawahudumie ndugu zako. alafu waalimu uwajengee nyumba na miundombinu wabaki huko vijijini
Unaambiwa huko kuna sehemu, ukimsalimia tuu mtukiswahili ni kosa kubwa sana..Hahahaha . Nmefikaa itilimaa...daah kwa kweli hapana
acha siasa za economics ya form five tena HGE, kwa kifupi hiyo mikoa ni masikini na haiendeleiOk
Mkuu kwako Maendeleo ni kitu gani?
Maendeleo unayapima kwa kipimo gani?
Je maendeleo ni majengo?
Je maendeleo ni pesa?
Je maendeleo ni barabara?
Je unaongelea maendeleo ya mtu binafsi?
Je maendeleo huletwa na nani?
Je wewe umekaa unasubiri maendeleo yaonekane huko kwenu?
Labda nikusaidie maendeleo yanatafsiriwa kwa kutumia kanuni za uchumi ambazo pia zina mapungufu
Maendeleo hupimwa kwa pato la Taifa (GDP) ambalo sasa unaweza kujua kila mkoa au sekta imechangia kwa kiasi gani? Na pia unaweza kugawa pato la Taifa kwa idadi ya watu ukajua maendeleo yapo vipi?
Mfano maeneo yenye mali ghafi na viwanda n i rahisi kuona yamechangia pato kubwa kwa Taifa,Lakini tukiligawa kwa idadi ya watu wa eneo hilo yawezekana kuna umaskini wa kutisha
Mfano ,Mtwara kuna bandari na kuna kiwanda kikubwa cha cement ,Pia ndiko kuna korosho zinazoingiza pesa za kigeni ,Je mapato ya bandari ya mtwara na mapato ya korosho ni kiasi gani?
Baada ya sensa serikali ilitoa report ya maendeleo pia,Je hiyo miko ipo?lakini moja ya maeneo yenye hali mbaya ni Bukoba hiyo nina uhakika na niliona kwenye report ya takwimu
Mbeya jijo ina pato kubwa ,Je ukiona watu wa Mbeya wana maisha mazuri na wana maendeleo ?
Dar es Salaam pi ina pato kubwa ,Je ina maendeleo na watu wake wengi wanaoshindia mihogo unasemaje