Mtukutu wa Nyaigela
JF-Expert Member
- Sep 4, 2018
- 8,011
- 14,349
hiyo mara anayoiongelea kwamba ina uchumi wa chini, akumbuke ndiko kwenye mgodi wa North mara, kuna ziwa watu wanavua, na vi mgodi vidogo vidogo vingi tuOk
Mkuu kwako Maendeleo ni kitu gani?
Maendeleo unayapima kwa kipimo gani?
Je maendeleo ni majengo?
Je maendeleo ni pesa?
Je maendeleo ni barabara?
Je unaongelea maendeleo ya mtu binafsi?
Je maendeleo huletwa na nani?
Je wewe umekaa unasubiri maendeleo yaonekane huko kwenu?
Labda nikusaidie maendeleo yanatafsiriwa kwa kutumia kanuni za uchumi ambazo pia zina mapungufu
Maendeleo hupimwa kwa pato la Taifa (GDP) ambalo sasa unaweza kujua kila mkoa au sekta imechangia kwa kiasi gani? Na pia unaweza kugawa pato la Taifa kwa idadi ya watu ukajua maendeleo yapo vipi?
Mfano maeneo yenye mali ghafi na viwanda n i rahisi kuona yamechangia pato kubwa kwa Taifa,Lakini tukiligawa kwa idadi ya watu wa eneo hilo yawezekana kuna umaskini wa kutisha
Mfano ,Mtwara kuna bandari na kuna kiwanda kikubwa cha cement ,Pia ndiko kuna korosho zinazoingiza pesa za kigeni ,Je mapato ya bandari ya mtwara na mapato ya korosho ni kiasi gani?
Baada ya sensa serikali ilitoa report ya maendeleo pia,Je hiyo miko ipo?lakini moja ya maeneo yenye hali mbaya ni Bukoba hiyo nina uhakika na niliona kwenye report ya takwimu
Mbeya jijo ina pato kubwa ,Je ukiona watu wa Mbeya wana maisha mazuri na wana maendeleo ?
Dar es Salaam pi ina pato kubwa ,Je ina maendeleo na watu wake wengi wanaoshindia mihogo unasemaje?
Imf na world bank Wana generalise mfano utajiri WA mo ,na bakharesa una replace umasikini WA watu Zaid ya 40mHuo ni uchumi wako ambao hautambuliki na IMF na WB
Tunaongelea vigezo vya kimataifa vya ukuaji vya IMF na World Bank
hizo gari zenye namba A zinatoka wapi kuelekea wapi mkuuWao Wana genela
Nimezaliwa Mara naelewa hakuna kujifariji izo namba d ni Chache mno nyingi namba A na B
Vijana wa 2000s,eti Mtwara na Lindi kuna jangwa..huko shuleni mnasoma nini?1.MARA
Hadi Leo wanatumia probox namba A kama daladala
Wakazi WA huko Wana hasira muda wote wapo kisharishari
Walimu WA wengi WA shule za vijijini wamepanga mjin asubuhi wanawasha mapikikipi wanapakizana wawili wanaenda shule
2-SIMIYU
Population ni kubwa sana uchumi umedorora Kila familia ina mganga wake wakazi washazoea shida kwa iyo furaha kwao ni shida.
3-Mtwara na Lindi
Sehemu kubwa ni pori lenye maadhi ya jangwa vijana wengi wamekimbilia dar wamebaki wazee .
4-TABORA
hakuna Cha maana Tabora zaidi ya nyumba kuukuu
Maisha ni duni hakuna center nzuri
Kagera imesingiziwa kwakua Kuna Wilaya, kama Boharamlo na nhara ambapo watu ni masikini...Bukoba kama Bukoba siyo masikini tusijilishe matango pori. Pia na hisi Kuna watu Wana personalize issues...Mkoa kama Kilimanjaro ni kwasababu ya utalii ndiyo sababu inaonekana Ina uchumi mkubwa but then compared to other places wao wamewekewa miundombinu karibu yote ya kukoleza uchumi ..Hizi takwimu ziangaliwe Kwa umakini sana. Huwezi kuiiya Geita Ina uchumi mkubwa ukilinganisha na say Bukoba...Kwakua hapo Kuna migodi na pesa nyingi ni za state siyo individualsOngeza na Kagera
mleta mada ni mtu wa hovyo kabisa mkuuKagera imesongiziwa kwakua Kuna Wilaya, kama Boharamlo na nhara ambapo watu ni masikini...Bukoba kama Bukoba siyo masikini tujilishe matango pori. Pia na hisi Kuna watu Wana personalize issues...Mkoa kama Kilimanjaro ni kwasababu ya utalii ndiyo sababu inaonekana Ina uchumi mkubwa but then compared to other places wao wamewekewa miundombinu karibu yote ya kukoleza uchumi ..Hizi takwimu ziangaliwe Kwa umakini sana. Huwezi kuiiya Geita Ina uchumi mkubwa ukilinganisha na say Bukoba...Kwakua hapo Kuna migodi na pesa nyingi ni za state siyo individuals
Mara Kuna Serengeti vp Mbona Bado umaskin upoKagera imesongiziwa kwakua Kuna Wilaya, kama Boharamlo na nhara ambapo watu ni masikini...Bukoba kama Bukoba siyo masikini tujilishe matango pori. Pia na hisi Kuna watu Wana personalize issues...Mkoa kama Kilimanjaro ni kwasababu ya utalii ndiyo sababu inaonekana Ina uchumi mkubwa but then compared to other places wao wamewekewa miundombinu karibu yote ya kukoleza uchumi ..Hizi takwimu ziangaliwe Kwa umakini sana. Huwezi kuiiya Geita Ina uchumi mkubwa ukilinganisha na say Bukoba...Kwakua hapo Kuna migodi na pesa nyingi ni za state siyo individuals
Lindi 70% ni pori jangwa hakuna MTU anaeish hukoVijana wa 2000s,eti Mtwara na Lindi kuna jangwa..huko shuleni mnasoma nini?
Kila mtu ana kanuni zake za kupima maendeleo bro sidhani kama tabora ili upime maendeleo yake uhitaji kutumia hizo sijui GPD sijui aiseh tabora maisha ni magumu na pia hakuna maendeleo short and clearOk
Mkuu kwako Maendeleo ni kitu gani?
Maendeleo unayapima kwa kipimo gani?
Je maendeleo ni majengo?
Je maendeleo ni pesa?
Je maendeleo ni barabara?
Je unaongelea maendeleo ya mtu binafsi?
Je maendeleo huletwa na nani?
Je wewe umekaa unasubiri maendeleo yaonekane huko kwenu?
Labda nikusaidie maendeleo yanatafsiriwa kwa kutumia kanuni za uchumi ambazo pia zina mapungufu
Maendeleo hupimwa kwa pato la Taifa (GDP) ambalo sasa unaweza kujua kila mkoa au sekta imechangia kwa kiasi gani? Na pia unaweza kugawa pato la Taifa kwa idadi ya watu ukajua maendeleo yapo vipi?
Mfano maeneo yenye mali ghafi na viwanda n i rahisi kuona yamechangia pato kubwa kwa Taifa,Lakini tukiligawa kwa idadi ya watu wa eneo hilo yawezekana kuna umaskini wa kutisha
Mfano ,Mtwara kuna bandari na kuna kiwanda kikubwa cha cement ,Pia ndiko kuna korosho zinazoingiza pesa za kigeni ,Je mapato ya bandari ya mtwara na mapato ya korosho ni kiasi gani?
Baada ya sensa serikali ilitoa report ya maendeleo pia,Je hiyo miko ipo?lakini moja ya maeneo yenye hali mbaya ni Bukoba hiyo nina uhakika na niliona kwenye report ya takwimu
Mbeya jijo ina pato kubwa ,Je ukiona watu wa Mbeya wana maisha mazuri na wana maendeleo ?
Dar es Salaam pi ina pato kubwa ,Je ina maendeleo na watu wake wengi wanaoshindia mihogo unasemaje?
hapo sikubaliani nawewe kabisa hivi unataka kuniambia Tabora ile ya miaka 5-10 iliyopita ni sawa na Tabora ya leo? baada ya kuwa barabara kuu zote za kiuinganisha na mikoa mingine Zimekamilika kwa kiwango Cha lami ikiwemo ile ya kwenda mpanda? ambapo Sasa unaweza kutoka muda wowote kwenda mji wowote mkubwa!Kila mtu ana kanuni zake za kupima maendeleo bro sidhani kama tabora ili upime maendeleo yake uhitaji kutumia hizo sijui GPD sijui aiseh tabora maisha ni magumu na pia hakuna maendeleo short and clear
Angalia kampuni za utalii ziko Arusha na wanategemea SERENGETI siku zikihamia mkoa wa Mara tofauti utaionaMara Kuna Serengeti vp Mbona Bado umaskin upo
Maendeleo ni tofauti na uchumi mkubwa. Maendeleo hupimwa kwa Human Development Index. Nchi inaweza ikawa na uchumi mkubwa lkn dvt index ikawa chini.Ok
Mkuu kwako Maendeleo ni kitu gani?
Maendeleo unayapima kwa kipimo gani?
Je maendeleo ni majengo?
Je maendeleo ni pesa?
Je maendeleo ni barabara?
Je unaongelea maendeleo ya mtu binafsi?
Je maendeleo huletwa na nani?
Je wewe umekaa unasubiri maendeleo yaonekane huko kwenu?
Labda nikusaidie maendeleo yanatafsiriwa kwa kutumia kanuni za uchumi ambazo pia zina mapungufu
Maendeleo hupimwa kwa pato la Taifa (GDP) ambalo sasa unaweza kujua kila mkoa au sekta imechangia kwa kiasi gani? Na pia unaweza kugawa pato la Taifa kwa idadi ya watu ukajua maendeleo yapo vipi?
Mfano maeneo yenye mali ghafi na viwanda n i rahisi kuona yamechangia pato kubwa kwa Taifa,Lakini tukiligawa kwa idadi ya watu wa eneo hilo yawezekana kuna umaskini wa kutisha
Mfano ,Mtwara kuna bandari na kuna kiwanda kikubwa cha cement ,Pia ndiko kuna korosho zinazoingiza pesa za kigeni ,Je mapato ya bandari ya mtwara na mapato ya korosho ni kiasi gani?
Baada ya sensa serikali ilitoa report ya maendeleo pia,Je hiyo miko ipo?lakini moja ya maeneo yenye hali mbaya ni Bukoba hiyo nina uhakika na niliona kwenye report ya takwimu
Mbeya jijo ina pato kubwa ,Je ukiona watu wa Mbeya wana maisha mazuri na wana maendeleo ?
Dar es Salaam pi ina pato kubwa ,Je ina maendeleo na watu wake wengi wanaoshindia mihogo unasemaje?
Aya sawahapo sikubaliani nawewe kabisa hivi unataka kuniambia Tabora ile ya miaka 5-10 iliyopita ni sawa na Tabora ya leo? baada ya kuwa barabara kuu zote za kiuinganisha na mikoa mingine Zimekamilika kwa kiwango Cha lami ikiwemo ile ya kwenda mpanda? ambapo Sasa unaweza kutoka muda wowote kwenda mji wowote mkubwa!
Wakati mwingine muwe na aibu kuongea vitu visivyo sahihi