Hahahah Eti swali linaulizaje! we Soulmate wewe!
Kwa tafsiri hii ninaamini napendwa teh teh teh:becky:
Haya bana mkishakutana na Babu DC siwawezi, ninaombea asiuone mjadala huu maana atanipin kwenye angle hadi nikome mwenyewe.
Hapo kwenye upendo vs mapenzi ndipo ninapojaribu sana kupaelewa ingawa mwe! Nahisi nahitaji external energy kuielewa
Wanadamu ni wanafiki,sio wakweli.Mwanadamu anataka mazuri lakini hataki kuwajibika kuyatenda.Ni rahisi kusikia nataka mke/mume mwenye upendo wa kweli nitaridhika.Mwisho wa siku anaanza kuangalia mwili hela na ujinga mwingine mwingi,mwisho wa siku hakuna kinachoendelea.Umezungumzia upendo,let me tell u,hakuna anaejua maana ya upendo,ukiujua yote mengine hayana maana!
.....lol, ati "unahitaji external energy
" kuielewa....ngojea siku (ombea mungu isikutokee) utapopoteza Upendo uliotunukiwa na kubakiwa na penzi pekee...-'hutajua thamani ya kitu mpaka ukipoteze'-
By the way, napatwa na hisia kwa haya maswali yako ewe Soulmate maishani mwako hujawahi kuishi kwenye Upendo,..bali. umekuwa unaishi kwenye Mapenzi pekee, ndio maana wataabishwa na hali iliyopo...😀
Eiyer mpaka hapa ndugu yangu tupo ukurasa mmoja, how can someone live maisha ya ukinyonga kwa ampendaye? unless hampendi bali anaplay the game kama anavyosema MbuMbu,ninaposema hatujui upendo namaana ya KUTOKUJUA.Nayachukia maisha ya kuwa kama kinyonga.Siyapendi kwa sababu unalazimika uwe na mambo fake na pengine usiyoyapenda.Mbu,kwenye upendo hakuna kukinai kuna kujua na kuridhika.Unajua unatoa upendo na unaridhika kwa sababu unajua kupenda.Penye upendo kuna raha hakuna majuto na kujilaumu!
Mbu,ninaposema hatujui upendo namaana ya KUTOKUJUA.Nayachukia maisha ya kuwa kama kinyonga.Siyapendi kwa sababu unalazimika uwe na mambo fake na pengine usiyoyapenda.Mbu,kwenye upendo hakuna kukinai kuna kujua na kuridhika.Unajua unatoa upendo na unaridhika kwa sababu unajua kupenda.Penye upendo kuna raha hakuna majuto na kujilaumu!
.....zote hizo ni tafsiri ya Upendo, na zinakubalika. 'Ukinyonga' ni sehemu ya maturity....compromising....uking'ang'ana na 'umimi' (being Rigid and selfish) kwenye mahusiano -utayapelekea maisha ya mwenza wako aishi kama "msukule" mtumwa wa mapenzi. Yaani usemalo wewe ndio Amri!
Wk'end nilikuwa na Soulmate twatazama movie ya 14 Days....JB & Wema Sepetu. Script nzuri, japo ni copy & paste, lakini ni funzo tosha ukiamua kuiangalia movie hiyo kimtazamo wa kisaikolojia (impacts) zaidi...
Be adaptable, it costs you nothing to be humble kwa yule umpendaye.
Mmebobea kutuchuna Kweli wanaume tumeumbwa matesoteh teh teh. :dance: