Kwa wamarekani na ujuzi wao wote wa kijasusi kushindwa kuona dalili na kunusa harufu ya ghasia zilizoandaliwa na Donald Trump na washirika wake.
Na kwa kuwa wahuni wengi wa kisiasa ambao ndo wapo nyuma ya Donald Trump walitaka kupindua matokeo ya uchaguzi.
Na kwa kuwa vyombo vyote vya kijasusi na usalama wa Marekani vilikaa pembeni kusoma hali halisi, bas waweza kuwa uko sahihi.
Hii ni "conspiracy at the highest level".