Nakumbuka tukienda machungani..wale mbuzi walio kuwa wanapandwa..tulikua tunawakamata kisha beberu linapanda tosha yake..kila beberu lilikuwepo machungani lazima lipande jike ambaye tumemshikilia.Leo nimekaa sehemu namwagilia moyo, nikiwa natafakari ya ulimwengu na walimwengu wake, ghafla nikajikuta nakumbuka mikasa mingi ya kusikitisha, ya kishujaa,ya kufurahisha na mingine ni ya kusisimua kipindi bado mdogo naangali mifugo ya wazee wetu mzee Shamakala.
Nikaona ni vyema basi tuwe na jukwaa la visa vifupi vya sie tuliowahi kuchunga mifugo maporini na wawindaji wa wanyama wadodo wadogo...hukohuko vichakani na mporini.
Sasa kama kuna mtu ana mkasa,basi tukutane hapa tusimuliane na kukumbusha...mabaya na mazuri,kwa wema na au kwa ubaya.
Karibuni
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Tulipokuwa tunachunga zamani sungura akawa anafyonza Maziwa ya ng'ombe wa babu nikamrushia rungu akakwepa rungu likampata ng'ombe alirudi Nyumbani Kwa kuchechemea
Kule njombe maeneo ya uwanja wa ndege kuna mzee mmoja anaitwa Kasunga alikuwa anafuga ng'ombo tena wale wa kisasa,utakuta ng'ombe mmoja anatoa maziwa zaidi ya ndoo mbili zile kubwa za lita 20 halafu utakuta anang'ombe kama 25 plus.......yule mzee kama atakuwa hakutajirika aache tu ufugajiMbona visa hakuna,
Hakuna Wawindaji na Wafugaji humu
Anza na chako basi bossLeo nimekaa sehemu namwagilia moyo, nikiwa natafakari ya ulimwengu na walimwengu wake, ghafla nikajikuta nakumbuka mikasa mingi ya kusikitisha, ya kishujaa,ya kufurahisha na mingine ni ya kusisimua kipindi bado mdogo naangali mifugo ya wazee wetu mzee Shamakala.