Heisenberg
JF-Expert Member
- Apr 26, 2017
- 1,688
- 2,982
"Dirisha la bafuni halina wavu wala nondo" hiyo ni hoteli au pagale!![emoji38][emoji38] maana hapo hata majoka yanaweza kuingia chumbani kiulaiini.
[emoji2][emoji1][emoji2][emoji1] interesting ikawaje mkuu malizia story
Nyahonge iko mkoa gani mkuuUpo sahihi nimelala sana hapo nyahonge...wachawi na story za uchawi ni vinaongelewa hadharan kama vitu normal,ila issue za umalaya nyahonge hakuna watu wanaishi kijamaa sana....Kikubiji nilienda kule kijjn kabisa wanacheza ngoma zao wanaziita mbina hatar mzee.
Ipo wilaya ya kwimba mkoa wa mwanza....Ukiwa unatoka mwanza mjini kwenda Shinyanga ukifika eneo la mwanangwa kuna kona kulia unaenda misasi baada ya misasi kuna kona mbele kushoto (Kuna bango la Us Aid) unaenda na hilo barabara unafika nyahonge....ila pia unaweza pita hungumalwa ukafika kwa urahisiNyahonge iko mkoa gani mkuu
Roho mbaya hiyo ,ungemwacha jamaa achukue ujuzi au ulikuwa unapiga kichovuKatika harakati za kutafuta maissha nikajikuta nipo ifakara [emoji3][emoji3]
nimepumzika lodge na mtoto kumbe dirishani kuna mtu anakula chabo, taa ilikuwa inawaka basi nikaizima na kurekebisha pazia na kisha nikaacha pazia mahali lipo wazi.
Chumbani kuna jagi la umeme la kichemsha maji nikachemsha nikaingia bafuni kama naoga,
Nikapanda juu ya choo cha kukaa na na kuchungulia kwa nje kwenye kadirisha kadogo ambako halana wavu wala nondo nikamuona yule jamaa aliekuwa akipiga chapo akiwa ameweka ndala chini kapiga magoti Akiendelea kula chabo.
nilimimina maji ya moto kwenye kikombe cha kuogea na kumwagia jamaa mgongoni
Jamaa alipiga kelele za hatari [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] watu wote wa ule upande nilio lala wakaamka
[emoji851][emoji851]Roho mbaya hiyo ,ungemwacha jamaa achukue ujuzi au ulikuwa unapiga kichovu
[emoji851][emoji851]mkuu hukuwa na option nyingine ? Mm kabla sijalipia lodge/hotel lazima nimuambie mhudumu anionyeshe chumba kwanza nijiridhishe ,,,,Kuna guest sitokukuja kusahau maishani inaitwa riverside kama sijasahau around 2011 nililala chumba ni 3,000 per day ila kuanzia saa nne. Ipo kijenge juu inakaribiana na Mto. Ni guest ya Mbao na bar mbele yake. Pata picha unalala guest ukuta ni Mbao na room ya pili kuna mgegedo. Yani pata picha tu. Yani ni guest ya wahuni na watu wanaoishi karibu na guest ni wahuni na wababe kinoma. Wahudumu wote wana makovu ya nyembe usoni Au shingoni. Haya maisha haya ……
Mnaoishi kijenge juu hiyo guest bado ipo? Uzuri bar yake kulikuwa na reggae nzuri sana na other music….
Alikuwa na pesa ndogo[emoji851][emoji851]mkuu hukuwa na option nyingine ? Mm kabla sijalipia lodge/hotel lazima nimuambie mhudumu anionyeshe chumba kwanza nijiridhishe ,,,,
😅😅😅🤣🤣 Unazingua boss wangu umenifanya nicheke achaaNilikuwa na hamu sana na papuchi nilipofika tu nikavua nguo sasa napiga simu demu wangu yuko mbali sana nikasema ngoja nijilaze kitandani usingizi ukanipitia. Kuja kushtuka nakuta niko uchi bado na mlango uko wazi kumbe sikulock aisee.
Nawazaga tu hivi hakuna aliyenipiga picha kweli, siku nikikuta picha zangu huko mtandaoni nimelele huku dudu limesimama sitoshangaa 😬
Nilikuwa na hamu sana na papuchi nilipofika tu nikavua nguo sasa napiga simu demu wangu yuko mbali sana nikasema ngoja nijilaze kitandani usingizi ukanipitia. Kuja kushtuka nakuta niko uchi bado na mlango uko wazi kumbe sikulock aisee.
Nawazaga tu hivi hakuna aliyenipiga picha kweli, siku nikikuta picha zangu huko mtandaoni nimelele huku dudu limesimama sitoshangaa 😬
🤣🤣🤣Nilikuwa na hamu sana na papuchi nilipofika tu nikavua nguo sasa napiga simu demu wangu yuko mbali sana nikasema ngoja nijilaze kitandani usingizi ukanipitia. Kuja kushtuka nakuta niko uchi bado na mlango uko wazi kumbe sikulock aisee.
Nawazaga tu hivi hakuna aliyenipiga picha kweli, siku nikikuta picha zangu huko mtandaoni nimelele huku dudu limesimama sitoshangaa 😬
Huko dunia ndio mfumo ulivyoTulienda ukerewe 2018 kwenye ishu flan kama group hv,bahati mbaya siku tuliyofika kulikuwa na ziara ya uncle Magu, lodge na guest zote kwa pale mjin zilikuwa zimejaa, zunguka kila sehemu holaa, baadae kabisa tukapata moja inaonekana ya muda mrefu sana, kuulizia bei elfu 3, ikabidi tulipie kibishi tu tukalala room moja watu watatu muhudumu alitutafutia na godoro tukaweka chini ili tutoshe,toilet ni ya nje, mlango wa kuhamisha, ukiingia unauegesha mlangon ukimaliza unauweka pembeni... Nyingine ni Arusha, lodge inaangaliana na hospital ya selian ile ya pale town, ipo classic kabisa ina had cctv, walinishangaza tu nimeuliza bei wakaniambia ukilala mwenyewe 40k, ukilala na mtu 50k, sijawah kuikuta sehemu zote nilizotembea hyo...
Inakuaje ukuandika jina halisi na demu kazima na wakakupata?Ukifuatlia baadhi ya mikasa unaona bora uandike jina la uongo mingine inakushawishi uandike jina la halisi basi tafrani, imagine umeandika jina halisi halafu demu kazima?
Anaweza asilale na akafa pia mkuu...!Dah,,,, akizima Ni hatari Sana ! Mm naona kuandika jina halisi may be umesafiri kikazi, upo mkoa tofauti na unaoishi ! Na ikitokea umeopoa make sure humlazi humo mpk asbh,,,, ukishajijazia minyama mtoe usiku huo huo !
Ila zile umeenda kupasha tu na kurudi around huo huo mkoa unaoishi usiandike majina halisi,,, alafu kwa nn ulale nae Hadi asbh ? Piga pita hivi sio mkeo huyo !
Kuna sehem umesema nane nane kuna lodge nzuri [emoji38]Mie sijawahi lodge.
Wewe mlima mkendo ndo umeona ni hotel? Una miaka mingi huijui musomaKwa hiyo hotel na lodge za Musoma hazina Majina? Bweri kuna guest chafu mnaziita lodge. Musoma hamna hotel ya maana toka Musoma Hotel iungue [emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji38]Katika harakati za kutafuta maissha nikajikuta nipo ifakara [emoji3][emoji3]
nimepumzika lodge na mtoto kumbe dirishani kuna mtu anakula chabo, taa ilikuwa inawaka basi nikaizima na kurekebisha pazia na kisha nikaacha pazia mahali lipo wazi.
Chumbani kuna jagi la umeme la kichemsha maji nikachemsha nikaingia bafuni kama naoga,
Nikapanda juu ya choo cha kukaa na na kuchungulia kwa nje kwenye kadirisha kadogo ambako halana wavu wala nondo nikamuona yule jamaa aliekuwa akipiga chapo akiwa ameweka ndala chini kapiga magoti Akiendelea kula chabo.
nilimimina maji ya moto kwenye kikombe cha kuogea na kumwagia jamaa mgongoni
Jamaa alipiga kelele za hatari [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] watu wote wa ule upande nilio lala wakaamka
Jagi la kuchemshia maji limefikaje lodge?"Dirisha la bafuni halina wavu wala nondo" hiyo ni hoteli au pagale!![emoji38][emoji38] maana hapo hata majoka yanaweza kuingia chumbani kiulaiini.
Royal pamozNipo advance nasoma mbeya miaka hiyo ila ili ufike shule kutokea mikoan huku lazima ulale mbeya mjini kwanza.
Siku hiyo nimefika nimechukua chumba gest mitaa ile ya karibu na dox mwanjelwa kama unarudi block t hivi, usiku nimelala nasikia miguno mwanamke analalama ananyanduliwa kutoka kwenye korido sauti ipp juu gest nzima.
Kidume usingizi ukakata genye zikanipanda ikabidi nitoke niende hadi kaunta kufika nakuta wanawake wapo wengi lakini ni ambao wamenizidi umri(kumbuka nipo advance na hapo nimezoea kumega madent wenzangu tu) lakini cha ajabu wamama wananiangalia kwa jicho la matamanio.
Baadae kuja kugundua ni kuwa ile gesti ina wanawake wanaojiuza hivyo atakaetangulia kupata mteja anapiga kelele za mahaba anahakikisha hakuna mwanaume rijali atakaeweza kulala bila mwanamke.
sikurudi tena ile gest nkaamia lodge za uhindini usiku naenda ruka disco pamodzi.