Mikasa/vituko vya lodge

2006, vp mungure alikuwa bado yupo na dame?
Dame nilimuacha pale ila aliondoka baadaye miaka kadhaa mbele.

Mungure alifariki kwa ajali ya gari nilisikia ni pale kilala, gari iliacha njia Ikamvaa maana alikua anatembea kwa miguu pembezoni mwa road,
Yule mama mzungu alikuja kuondoka baadaye kurudi nchini kwao
 
duh, vp Mzee Jamaica nae, yule Mzee yule ukimuomba akuongezee nyama anakuambia kata mkono wangu ule
 
haijawahi hadi leo sikujua ni kitu gani labda kipururu miksa mbege viroba hahaha
Vilichangia pengine, maana hua nadharia zake nazisoma humu sana.

Ila pia katika hali ya kawaida kutegemeana na siku yenyewe hua inatokea.
 
Usiku wanakagua


Dawa yao watoka uchi tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…