Mikasa/vituko vya lodge

Bila shaka hapo ni Mbeya pazuri
 
 
Kudadadeki..zege hailali
 
Shusheni visa na mikasa ,,,,,, !!!!!


Towels za lodge/hotels/Gest sio Salama Sana, zinatumika kufutia mabao, kujikaushia mtu ukioga, sio wote wanazifua vizuri ya madawa na maji ya Moto ! Je huwa unazitumia ? Au unatumia mashuka ? Foronya ?
Naonaga shida nikiwa na demu lodge, ile kamaliza kuoga anajifuta na taulo mpaka kwenye papuchi, huwa silitumii
 
Naonaga shida nikiwa na demu lodge, ile kamaliza kuoga anajifuta na taulo mpaka kwenye papuchi, huwa silitumii
Hayo mm nafutia viatu ,,,,! Nikiwa safarini nakuwa na shuka la kimasai ndo huwa nalitumia !

Kama sio safarini nachukua mto najifutia foronya ,,, ! taulo kila mtu anajifutia hapana aise
 
Mkuu hata mablanket mazito au maduvet yanaweza kukaa mwezi hayajafuliwa, bora kujifunika shuka ya kawaida tu hata kama kuna baridi
Ma blanket nayo ni noma sana. Kama kuna option nadhani tujifunze tu kulala lodge ambazo zina standard nzuri!
Ila pia shuka la kimasai linafaa sana kusafiri nalo, linaokoa sana ukiwa mazingira yasiyofurahisha na hayana option!
 
Muda wa kutiana mto hua unawekwa pale chini ya kiuno Cha mwanamke ili anyanyuke Vzr/au huulalia juu ya tumbo lake ili matakor yabinuke juu vzr,mpale jasho mixer bao huchuruzika vzr kwny mto.
Option ipi mkuu,,,, ! Ni kwenda hotels/lodge standards wanazofua na machine pia wanatumia madawa !!! Sasa kwa wanaosafiri safiri wilayani huko lodge Ni za kawaida Sana inakuwaje ? Mwanamke awe na kikoi chake ,,,, Kama Ni me walau uwe na shuka la kimasai ,,,,,,

VP mazingira ya mjini,,,, I mean hujasafiri, lakini kwa Namna moja ama nyingine umelazimika kwenda lodge/hotel,, ,, ?? Inakuwaje?
 
Msafiri kafiri mkuu,mambo yote yanayoendelea lodge tunayajua Ila Hakuna namna tunalala hivyo hivyo mkuu.
 
Njoo geto kwangu

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Mi nna gheto njoo, temboni

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…