mikanda kwenye mabasi abiria wafunga njia

mikanda kwenye mabasi abiria wafunga njia

Bigirita

Platinum Member
Joined
Feb 12, 2007
Posts
16,043
Reaction score
7,477
Abiria wenye hsira wameziba njia hapa kibaha. Trafic wamesimamisha mabasi yasiyo na mikanda. Tangu saa moja nipo hapa.
 
HIYO YOTE NI KWA USALAMA WAO SIO TATIZO ..
NA NYIE TRAFIC MNATAKIWA MKAGUE GARI KUANZI UBUNGO NA VITUO VYOTE VYA MABASI YANAPOONDOKA KAMA YAKO SALAMA
SIO TU MABARABANI
speed jamani speed inatumaliza ..
 
Deal hilooo kwa traffic.....wenye mabasi wamepewa muda wa kutosha???
 
kwa suala zima la usalama-it's better to be late than never!seat belt ni muhimu sana they save life.
 
Abiria wenye hsira wameziba njia hapa kibaha. Trafic wamesimamisha mabasi yasiyo na mikanda. Tangu saa moja nipo hapa.
MPWA,
unaenda wapi leo?kuna geti tugedha pati baadae......
 
Acha tu mabasi yakamatwe kwani wamiliki wake hujali pesa na siyo maisha ya watu.
 
Abiria wenye hsira wameziba njia hapa kibaha. Trafic wamesimamisha mabasi yasiyo na mikanda. Tangu saa moja nipo hapa.
Hayo mabasi yasiyo na mikanda jana yalizuiwa Ubungom, naona leo walikata kidogodogo wakaachiwa waendelee na safari lakini wa Kibaha nao wameamua kukomaa nao... Polieni maana najua mtasota kidogo
 
Back
Top Bottom