Mikakati ya kibiashara/kiuchumi unayoweza kuitumia ili kuzuia au kupunguza athari za kiuchumi zitakazoletwa na COVID-19.

wakubeti

JF-Expert Member
Oct 5, 2018
560
853
Habari zenu wakuu?

Poleni kwa harakati zakila siku zamaisha na mapambano dhidi ya COVID-19

Kama heading inavojieleza, niwazi biashara na uchumi wawatu wengi umeathiriwa na mlipoka huu wa pandemic natutarajie mengi zaid yaneweza kuletwa na janga hili endapo hatua sahihi hazitachukuliwa. Baadhi ya vitu ambavyo unaweza kuzingatia kuzuia au kupunguza ukuwbwa wa tatzo

1. Jiandae kisaikolojia, economic recession haitakwepeka. Tofauti kati ya economic recession na economic depression nikua economic recession nikushuka kwa uchumi ambapo kama hatua sahihi zitachukuliwa uchumia unaweza kukaa sawa ndani ya muda mfupi(miez michache) na economic depression nikushuka kwa uchumi kwa mda mrefu(miaka mingi). Nimuhimu kulielewa hilo nakulitumia likuongoze wakat wakufanya maamuzi.

2. Kuamwangalifu namambo yote yanayohusu pesa, jitahid kubana matumizi as much as u can, spend very carefully and conserve the bank balance for as long as needed

3. Jihadhari sana namikopo(usikope wala kukopesha) kama mazingira yatakulazimu kukopa au kukopesha nimuhimu kupata ushauri wakitaalam kabla kuamua

4. Andaa list ya vitu(assets) ambavyo utakua tayari kuviuza au kuvibadilisha ili kupata cash endapo itahitajika(hio nikama plani ya akiba incase mambo hayataua mazuri)

5. Kuamakini na janjajanja za kiabiashara zitakazo ibuka, unaweza kushawishiwa kununua bidhaa fulani kwa matumaini kua bei itapanda namatokeo yakawa vice versa.

6. Fungua macho na masikio yako naufatilie kila idea na new bussiness opportunity itakayo kupitia mbele yako.

Hizo nichache unazoweza kuzitumia namambo yakaenda vizuri, wadau wa MATAGA(make Tanzania great again) mnaweza kutongezea mawail matatu
 
Back
Top Bottom