Serikali ya awamu ya nne na hii ya awamu ya tano zimejitahidi sana kujenga barabara kila kona ya nchi. Barabara ya muhimu iliyobaki ni ya kuunganisha Mtwara, Lindi(mikoa ya kusini) na Dodoma. Kwa sasa watu wa maeneo hayo wakitaka kwenda Dodoma huzunguka mpaka Dar au Songea Njombe. Hizo ni safari ndefu sana. Itafutwe njia ya mkato toka huko kusini kuja Dodoma. Nawasilisha.