Jitu la kienyeji
JF-Expert Member
- Dec 13, 2014
- 4,426
- 7,942
Dah!Usimkatishe tamaa mkuu.Mimi nilikuwa siwafahamu hao mijusi.Amenifahamisha.Ungewasimulia wanao home inatosha.
Unaambiwa hii mijusi inajulikana kwa jina la dinosaurs...ndo mijusi iliyo tishia dunia yaani kwa hiyo mijusi tembo ilionekana kama sungura, yalikula kila mnyama
Na inasemekana hiyo mijusi ingekuwepo hadi Leo basi kusingekuwepo mnyama yeyote duniani yengemaliza dunia yote kwa kula kila mnyama basi Mungu apoona kuwa imekuwa tishio kwa wanyama wengine hivyo alituma jiwe kubwa likijulikana kama asteroid au burning sulphur ambalo lilibonda mijusi hiyo na kuiteketeza kwa moto yote bila kubaki hata mmoja
View attachment 1816829
Nature is always in equilibrium hivyo hakuna kitu kama hicho ulichoandika. Mass extinctions zimetokea mara kadha katika historia ya dunia na kutokana na historia miaka ijayo zitatokea tena.Unaambiwa hii mijusi inajulikana kwa jina la dinosaurs...ndo mijusi iliyo tishia dunia yaani kwa hiyo mijusi tembo ilionekana kama sungura, yalikula kila mnyama