swagazetu JF-Expert Member Joined Nov 28, 2013 Posts 4,253 Reaction score 1,475 Dec 18, 2015 #21 Mbona wa hvo wapo hata bongo na hakuna shida.
SHIEKA JF-Expert Member Joined Dec 20, 2011 Posts 8,240 Reaction score 4,270 Dec 19, 2015 Thread starter #22 fyika said: Mbona mzuri jamani kila mtu amshukuru Mungu kwa jinsi alivyomuumba kwani ni neema tu..yy amejikubali na maisha yanaendelea. Tusithubutu kudhihaki kwa namna yoyote Click to expand... Na amejikubali sana fyika, kiasi kwamba anakodishwa kuzungumzia kujikubali kwenye maisha.Umbo lake halimfikirishi hata punje! Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
fyika said: Mbona mzuri jamani kila mtu amshukuru Mungu kwa jinsi alivyomuumba kwani ni neema tu..yy amejikubali na maisha yanaendelea. Tusithubutu kudhihaki kwa namna yoyote Click to expand... Na amejikubali sana fyika, kiasi kwamba anakodishwa kuzungumzia kujikubali kwenye maisha.Umbo lake halimfikirishi hata punje!
Illuminata Rodgers JF-Expert Member Joined Nov 25, 2015 Posts 2,845 Reaction score 2,030 Dec 19, 2015 #23 Ya mungu mengi.