...Mihogo ya coco beach

..kweli kabisa...yaan kumpa offa shost wako ..nimekua BUZI

...duh si chunwi bali nasaidia

unachunwa....halafu si tumeachana.....sijui roho inaniuma ya nini........
 
Jamaangu umenikumbusha nlikuwa nakujaga ila kwa sasa nipo mbaaaali
 
yaani mie napapenda mno
ile nyama laini kweli, ila ni ya 'ulinzi'
nakula sababu hainidhuru
 
Mihogo ipo poa tatizo wale wauzaji ukiwatizama kimavazi wapo ovyo na ni wachafu balaa... lakini utashangaa watu jinsi wanavyopenda vichafu huwa wanafurika sana...

Watu wa afya wanahitajika kuwasaidia wale wauzaji... unakuta muuzaji kavaa nguo chafu chini ndala vumbi pilipili zikiwamwagikia wanajifutia kwenye nguo zao yaani huwa nikiwatizama nabaki naduwaa tu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…