Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 47,469
- 101,408
Haaaa pia kuna kabichi na mishikaki ya vijiti(nasikia ni nyama za paka na mbwa zile).
...kuna offa toka kwangu..inakuaje sasa. BADILI TABIAsijawahi kuila
ile mishikaki huo sigusi kabisaaaa unaweza kula mizoga hivi hivi...halafu jana nilikua huko
...kuna offa toka kwangu..inakuaje sasa. BADILI TABIA
magogo yamekatwa hovyo hovyo yaani mi sipafagilii kabisa
..wewe tu na tumbo lako...lini niandae tumbo
...mishikaki midogo au ile bei ndio inakutia shaka..?Nilikula mara moja ni mizuri ila ndio sili tena ile mishkaki.
...mishikaki midogo au ile bei ndio inakutia shaka..?
...hahahahaha..kaka umeua maana mie huwa naifakamia kweli kweliMishikaki midogo midogo ile ya chelewa kinachoniogopesha ni usanii wa watu dunia ya sasa imani imekwisha si wanaume si wanawake usikute nyama ya paka ile au ya iringa!
..wanachukua fees za Parking halafu mbaya...na pia hakuna ToiletMh jumapili huwa nakimbilia pale napenda mihogo ila cfagilii parking fees zao.
...kuna offa toka kwangu..inakuaje sasa. BADILI TABIA