Miguno hiyo inahitaji faragha, nyie wana familia kama mnataka miguno halisi lazima mtoke majumbani kwenu mwende hata kwenye mahoteli maana mnajizuia kulia kimahaba mnapokuwa majumbani mtaleta balaa kwa wanenu na wadogo zenu mnaoishi nao si mnajua mambo ya extended family