Mifumo ya kidunia ilishaamua mwanaume aishi kwa kukandamizwa na kufanyiwa ulaghai/ udanganyifu

Hoja yangu ni kwanini majukumu ya nyumbani yaendelee kuonekana ya mwanamke peke yake ilihali ya kutafuta pesa yanaonekana ni ya wote, si lazima mwanaume aingie jikoni sawa mnaweza mkaweka msaidizi lakini mbona pamoja na kuweka msaidizi bado huwa mnataka mwanamke asimamie au asaidie na asipofanya hivyo visingizio vya kuchepuka vinaanza, usijiongelee wewe tu hapa tuongelee uhalisia uliopo kwa wanaume wengi yani wanaume wengi wanataka lazima wake zao wajihusishe kwenye majukumu ya nyumbani hata kama nao wanatafuta pesa utasikia "sasa nimeoa mke wa kazi gani"
 
Kwa majibu hayo, kama umeolewa, basi aliyekuoa akapimwe akili.
Kakojoe ulale nyang'au wewe...
Mwanaume kuweza kuwa na familia ni kipimo cha ukomavu wa akili.

Ila vivulana vipumbavu kama nyie msivyoweza hata kuongoza familia mnakaa kupiga piga kelele humu jf

Unavimbisha na mapua ati siwezi oa my brother nyokonyoko... umeshikiwa akili wewe???? Bure kabisa

Watoto wangu wa kiume hawawezi kuwa mapimbi hivi sababu baba yao sio boya na haongozwi na mihemko

Kiongozi wa nchi tu lazima awe na mke au mume, halafu zero brain unakuja kudharau wanawake

Mama yako alijitesa tu na limimba lako

Cc Natafuta Ajira
 
Kama mwanaume anataka mwanamke aende kazini hapo hapo afanye majukumu ya nyumbani huo ni unyanyasaji. Ikiwa wote mnaenda kazini ni busara mkaajiri hpusegirl kwa ajiri ya masuala ya nyumbani mke atabaki kuakikisha tu kama kazi zimefanyika kwa usahihi lakini suala la mke kumtii mumewe ilo halimpotezei mwanamke muda wala gharama kwaiyo huwezi kusema eti kwa sababu mke nae analeta kitu mezani basi takwa la kumtii mumewe liondolewe.
 
Jipe moyo
Ninayo mingi sana nishaona wanawake wenye akili timamu zaidi ya mmoja wameolewa at 37 bila kushinda huko kwa watumishi hewa......
Lakini wapo mabinti wadogo late 20s wanakesha kuomba kwenye hayo makanisa.

Wanaojitambua hawaendi kulilia ndoa huko,
Na hayo makanisa yamejaa wanaolilia ndoa na wenye matatizo ya ndoa.

Wenye akili wanasali sehemu zenye mifumo na taasisi za kueleweka huwezi kuwakuta kwa hao watumishi wa mchongo.
 
Jipe moyo
Ila tu anzeni kumake peace....
Kama ambavyo kuna wimbi la single mama sasa hivi,
Basi kuna wimbi la single mama wa kununua mbegu lipo njiani, na vile tu nchi haijaruhusu sperm banks, watu wangeanza kununua.

Mpaka maroboti ya Elon yaje kufanya kazi, muda huo wanawake wanapambana na dildo, huku vibomba vya toilet bado kuna bisexual

Lakini mwanaume mpaka ununue malaya sababu wale wanaojidanganya hawataki ndoa halafu wameweka wanawake kinyumba ni ugonjwa wa akili kama magonjwa ya akili mengine
 
Hili limeshaanza kufanyiwa kazi taratibu.

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
 
Reactions: Tsh
Sawa
 
Kama tuna mtoto mmoja halafu ni mkubwa wa kuweza kukaa na baba? Kama hatukupata mtoto? Mali tugawane za nini? Kama tukigawana mali na watoto wakabaki kwa mama, unafikiri nitatakiwa kutoa pesa za kula watoto?

Kingine ulisema sababu ya kugawana mali ni muda alioutumia mwanamke kunihudumia, ikiwemo kufanya kazi za ndani, eti na kunipa K, sasa mbona kwa sasa umehamisha ajenda umekimbilia ajenda ya kukaa na watoto?
 
Tena sayansi inasema mwanamke ndo anasikia raha zaidi ya mwanaume, ndomaana anatoa sauti kuliko mwanaume.
Kama yeye hapati hiyo raha aisee.
Akati mkigegedana na yeye anaskia utam vile vile na usipomtimizia anakusaliti nje vile vile.
Huyu mtu asikupotezee muda kichwa bumunda hik
 
Si unaona sasa hapo ndipo mnapofeli hivi mnadhani ni upi msingi wa mwanamke kumtii mwanaume, yani wewe kwa akili yako unadhani mwanamke anatakiwa amtii mume kwa kigezo gani, tatizo la mke kumtii mume siyo lazima liwe kupoteza muda tu bali kushindwa kujiamulia mambo ambayo mke anataka ila mume hataki
 
Hizi taasisi za kimagharibi na serikali zao zinazojiingiza kwenye masuala ya jamii zetu kila siku ndio zinaleta huu ujinga ambao matokeo yake ni maadili, ndoa na familia kuvurugika.
Na bado ushetani mwingi unakuja kuvuruga jamii.
 
Sasa mbona unauliza maswali ambayo majibu yake yako hapo hapo kwenye comment uliyoiquote ni kwamba hujaelewa au umeamua tu kukaza fuvu, hizo nilizotaja awali na hiyo ya kubaki na watoto zote ni sababu za kugawana mali sheria itazingatia tu baadhi ya vitu kama mali mlizochuma pamoja na muda mliodumu pamoja, na zaidi mgawanyo wa mali unazingatia muda alioutoa mke kufanya hayo majukumu kiasi cha kushindwa kupata muda mwingi wa kujitafutia kipato kama wewe kitakachofanya aweze kujikumu pindi mtakapotengana
 
Wenye jeuri kama wewe, tutaendelea kuwatomba na kuwazeesha bila kuwaoa mpaka akili zikae sawa, kisha mwishoni tutaoa wenye nidhamu na unyeyekevu.
 
Hizo ulizotaja awali ikiwemo kazi za nyumbani na kunipa K, nimekupinga kuwa hazina mantiki kwasababu ni jukumu la mke kufanya kazi za nyumbani na kunipa K, kwanini nimlipe nusu ya mali? Mlitegemea K anipe nani? Na raha ya sex tunapata wote, kwanini nikulipe? Au ulikuwa unajiuza kwangu? Pia mwanaume pesa alizopoteza kuanzia kulipa mahari na kugharamia harusi send-off na kumtunza mwanamke, anafidiwa na nani? Assume tumekaa miaka mitatu hatuna mtoto, sasa hoja hizo hujajibu mpaka sasa.
 
Tunarudi pale pale kwenye gender roles, suala la mke kumtii mume sio utumwa ni gender roles tu.
 
Hizi taasisi za kimagharibi na serikali zao zinazojiingiza kwenye masuala ya jamii zetu kila siku ndio zinaleta huu ujinga ambao matokeo yake ni maadili, ndoa na familia kuvurugika.
Na bado ushetani mwingi unakuja kuvuruga jamii.
MIfumo yote tuliyoletewa na hawa jamaa weupe inabidi kuifumua na kuisuka upya kuanzia elimu, uchumi, demokrasia n.k
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…