hero de mmar
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 470
- 108
Habari za jioni wakuu. natafuta mifuko mipya ya salfeti yenye ujazo wa debe sita na debe saba. nanunua pieces 1000 na kuendelea. bajeti yangu @ 450 per piece. nipo Arusha
Habari za jioni wakuu. natafuta mifuko mipya ya salfeti yenye ujazo wa debe sita na debe saba. nanunua pieces 1000 na kuendelea. bajeti yangu @ 450 per piece. nipo Arusha
Mfuko wa Kiroba kwa sasa ni elf moja
huo wa mia nne na hamsini labda kaniki.
Mfuko wa Kiroba kwa sasa ni elf moja
huo wa mia nne na hamsini labda kaniki.
nashkuru mkuu ila mi
nanunua pisi 4000 kwa bei hiyo ya450 na nauza kwa 520 ila aliyekuwa
ananiletea amesafiri.
nashkuru kwa mchango wako
mkuu