Neutral Figure JF-Expert Member Joined Mar 8, 2015 Posts 537 Reaction score 201 Dec 19, 2017 #1 Wadau, kama kuna mtu ana contacts za watu wa Azam wanaoshugulika na ku print logo na kutengeneza mifuko ya salfet ya kg mbalimbali naomba anisaidie.
Wadau, kama kuna mtu ana contacts za watu wa Azam wanaoshugulika na ku print logo na kutengeneza mifuko ya salfet ya kg mbalimbali naomba anisaidie.
Hidler Member Joined Nov 28, 2016 Posts 7 Reaction score 6 Dec 20, 2017 #2 Nenda pale branch yao azam inayoitwa omar packaging ltd wako opposite na sido barabara ya nyerere wanafanya hio kitu
Nenda pale branch yao azam inayoitwa omar packaging ltd wako opposite na sido barabara ya nyerere wanafanya hio kitu
Hidler Member Joined Nov 28, 2016 Posts 7 Reaction score 6 Dec 20, 2017 #3 For contacts ingia website yao Www.bakhresa.com Tafuta branch omar packaging industries ltd (OPIL)