Mifuko ya Hifadhi ya Jamii Yafilisika | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mifuko ya Hifadhi ya Jamii Yafilisika

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Goodrich, Jul 23, 2012.

 1. Goodrich

  Goodrich JF-Expert Member

  #1
  Jul 23, 2012
  Joined: Jan 29, 2012
  Messages: 2,050
  Likes Received: 632
  Trophy Points: 280
  Mifuko ya hifadhi ya jamii ikiwemo NSSF, PPF, PSPF nk imefilisika na sasa haina uwezo wa kuwalipa wanachama wake akiba zao walizojiwekea kwa muda mrefu.

  Hali hii inatajwa kusababishwa na
  1. Fedha nyingi kukopwa na serikali na hakuna dalili ya kurejeshwa (Bad debts)
  2. Miradi au uwekezaji isiyo na tija wala faida
  3. Ufisadi katika usimamizi wa mifuko hiyo.

  Sheria iliyotungwa ya kuwalazimisha wanachama kuchukua akiba zao wakifikia umri wa miaka 55 ni mbinu ya kukwepa kuwalipa wanachama fedha zao.

  Habari ya kuandaa mbinu za kukwepa kuwalipa wanachama iliwahi kuripotiwa siku za nyuma kupitia;

  https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/283000-nssf-yaelekea-kufilisika.html
   
 2. K

  Kidzude JF-Expert Member

  #2
  Jul 24, 2012
  Joined: Jul 14, 2011
  Messages: 2,738
  Likes Received: 337
  Trophy Points: 180
  MTOA mada unataka watoe fiancial statements zao hadharani. Wataleta kitu inaitwa Systematic Shock kwenye fianancial markerts.SSRA kuweni macho na hili jambo.
   
Loading...