PendoLyimo
JF-Expert Member
- Sep 30, 2014
- 1,059
- 1,133
Hakika, na Hao wanasiasa pia wanamifugo mingi Sana hifadhiniWafugaji ni shida na kiburi wanapewa na wanasiasa!
Kweli kabisa, taasis zikianza kutekeleza sheria kelele za wanasiasa zitaanzaHili suala limeshaingiliwa na wanasiasa. Mamlaka husika zikifuata sheria tayari wanasiasa wanaingilia
Vyombo husika viachwe vifanye kazi yake
Nimekuelewa vizuri SanaMkuu mimi lawama zangu nazielekeza kwa government maana imeshindwa kuleta sera ambayo itambana mfugaji ili awe na kundi ambalo litahimiliwa na maeneo wanayomiliki,migogoro mingi ya wafugaji na wakulima chanzo ni wafugaji,watu wanauliwa na wafugaji kisa maeneo ya malisho.
Mimi nawachukia sana wafugaji kwani hawazingatii wakulima kabisa , wao wanachojali ni mifugo yao ishibe tu,hapa kwangu ninajirani kila mara tunagombana kisa mifugo kuingia ndani ya eneo langu kisa tu eneo langu ni kubwa na kuna nyasi,shida ninayo ipata ni miti kulishwa na ngombe.
Nashauri serikali iwabane hawa watu ni janga kWa taifa,kila mfugaji awe na eneo la malisho ambalo litatosha kuhifadhi mifugo wake na iwe marufuku kuchungungia kwa eneo la mwenzake bila kibari.
Serikali iache kuogopa kupoteza kura za wafugaji huku wakiharibu mazingira na kusababisha migogoro ambayo olinapelekea mauaji
Mimi naona mamlaka ziachwe zifanye kazi take ilifundisho liwe kwa woteTatizo watu wanataka kufuga kama wako 1960, haiko sustainable. Huwezi kufuga kwa kutangatanga na maelfu ya mifugo karne hii.
Kuhamahama ndo akili yenyewe, tena kubwa. Nenda kasomeNchi hii siku tuliweza kutenganisha siasa na utendaji ndo tutakuja kufanya vitu kama watu wenye akili na kupata maendeleo.
Karne ya 21 unakuwaje na ufugaji wa kuhamahama alafu mnajifanya mna akili?
Tatizo ni wao pia ni wanufaikaHili suala limeshaingiliwa na wanasiasa. Mamlaka husika zikifuata sheria tayari wanasiasa wanaingilia
Vyombo husika viachwe vifanye kazi yake
Wala! Serikali haiogopi kukosa kura za wafugaji, wanachoogopa serikali ni nyama kupanda bei.Mkuu mimi lawama zangu nazielekeza kwa government maana imeshindwa kuleta sera ambayo itambana mfugaji ili awe na kundi ambalo litahimiliwa na maeneo wanayomiliki,migogoro mingi ya wafugaji na wakulima chanzo ni wafugaji,watu wanauliwa na wafugaji kisa maeneo ya malisho.
Mimi nawachukia sana wafugaji kwani hawazingatii wakulima kabisa , wao wanachojali ni mifugo yao ishibe tu,hapa kwangu ninajirani kila mara tunagombana kisa mifugo kuingia ndani ya eneo langu kisa tu eneo langu ni kubwa na kuna nyasi,shida ninayo ipata ni miti kulishwa na ngombe.
Nashauri serikali iwabane hawa watu ni janga kWa taifa,kila mfugaji awe na eneo la malisho ambalo litatosha kuhifadhi mifugo wake na iwe marufuku kuchungungia kwa eneo la mwenzake bila kibari.
Serikali iache kuogopa kupoteza kura za wafugaji huku wakiharibu mazingira na kusababisha migogoro ambayo olinapelekea mauaji
Ufugaji wa asili ndo unafanya wengi walau wanakula nyama, bila wasukuma kuhamia lindi na mtwara, kwa mfano, maeneo hayo nyama ilionekana kama anasa.Kuhamahama ndo akili yenyewe, tena kubwa. Nenda kasome
Hivi kweli mpaka hapo ulipofikia huoni vile Mifugo inavyoaribu hifadhi..?Oneni
Hatuelewani
Hakuna ulazima wa kupunguza idadi ya mifugo.
Ni kuweka tu utaratibu wa misimu ya kupitisha mifugo.
Kiukweli mifugo katika hifadhi ni moja ya njia borrrrra kabisa ya kuhifadhi hifadhi hizo🤔
Sijachanganya, nnarudia tena kwa lugha nyingine MIFUGO HUSAIDIA KUBORESHA MAZINGIRA YA MAENEO INAPOCHUNHIWA HUKO MISITUNI na hii ndiyo sayansi.
Hata mbunge wa Geita alipoomba hao wahifadhi waambatane na wachungaji ili wakawaoneshe uharibifu unatokeaje huoni waloshindwa? Sayansi ipo upande wa wafugaji. Tena wafugaji wa makundi makuuuuuuuubwa ya ng'ombe.
Msikaririshwe mazingira, mazingira
Kwahiyo mkuu tuendelee kuharibu mazingira na watu waendelee kuuliwa na wafugaji kisa ni kuogopa bei ya nyama kupanda!? ,Sidhani kama ni busara juu ya hili,kwani kwa nchi za weNzetu wao wanafanyeje,je kuna huu ufugaji wa kiholela kama huku kwetu!?Wala! Serikali haiogopi kukosa kura za wafugaji, wanachoogopa serikali ni nyama kupanda bei.
Wakisema waanzishe operation ya kuwadhibiti wafugaji nchi nzima bei ya nyama itafika 25000 na ichi ndicho serikali wanachoogopa serikali . Ndyo maana linapokuja suala la wafugaji approach ya serikali huwa inakuwa inafanywa kwa umakini sana.
Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app