sheiza
JF-Expert Member
- Sep 29, 2010
- 7,634
- 11,691
MIF: Mwanamke Initiative Foundation.
Hii ni taasisi iliyozinduliwa hivi karibuni na mama Samia ikiwa chini ya binti yake mpendwa Wanu Ameir Hafidh yenye maskani yake kuu Zanzibar.
Swali: Kwa nini sasa baada ya mama kuwa rais na haikuanzishwa Magufuli alipokuwa rais na yeye akiwa makamu wake rais?
Hapo nyuma tuliona taasisi kama EOTF chini ya aliyekuwa first lady mama Anna Mkapa na baadaye WAMA chini ya Salma Kikwete.
Hizi taasisi zilikuwa active kipindi cha waume zao walipokuwa marais lakini sasa hata ukiuliza ofisi na vitendea kazi hakuna, kama lengo ilikuwa kusaidia jamii tunaamini muendelezo ungekuwepo.
Kupitia hizi taasisi mambo mengi ya hovyo yalitokea mfano EOTF ilichukua kiwanda cha kubangua korosho kibaha na kutoa mashine zote, hiyo WAMA imehodhi maeneo mengi ikiwemo kujichukulia eneo kubwa la wananchi maeneo ya Mitwero na wakati fulani Magu alipoenda Lindi mama Salma alikuwa anajiuma uma kutoa maelezo ya hilo eneo wakati hata hakuulizwa.
Kupitia taasisi ya MIF tunajua wazi aliyepo nyuma ni mama mwenyewe na mtoto ni kivuli tu. Lakini kitendo cha kufunga safari mpaka Zanzibar kwenda kuzindua taasisi binafsi akiwa na kundi la watu ni matumizi mabaya ya pesa za walipa kodi. Pengine ameamua kukusanyia pesa MIF ili hata baada ya kustaafu aendelee kuwa na ukwasi kama wenzie kina JK.
View attachment 2428939