When utility/satisfication is at maximum,jamani wengne hatujui hiyo law ya diminishng margnal utility nijuzen tafadhal
Kwahiyo unataka kudanganya watu kuwa kwa tabia kama za huyo mwenzio unaweza kukaa mwaka mmoja bila sex? Au kuwa single maana yake ni nini? Au ni kutokuwa na mwanamke maalum isipokuwa kila siku unachapachapa tu yeyote utakayemkamata?
angalia kasi yako, hao wote kama unapiga kavu basi ujue yule ulieachana nae kwanza alikuwa na askari polisi anaitwa James, yeye James alikuwa na mdada mwingine anaitwa Mary, huyu Mary namfahamu alikuwa na Jacob wakati fulani, Jacob ndie Boy friend wake Asha yule uliemwacha miaka minne iliopita, nae alikuwa na John pia, John aliwahi kutembea na yule ulimwacha miaka mitatu iliyopita, nae aliwahi kutembea Hamis, ambae hawakukaa muda mrefu sana, huyu Hamisi alikufa lakini aliacha Girl friend anaitwa Tatu, huyu tatu alikuwa na mahusiano na Ismail ambae aliwahi kutembea na huyo unaesema uliachana nae mwaka jana. na huyo ulienae sasa anatembea na yule Prof JJ anaeishi Makongo Juu ambae anatumika pia na kimada Barmaid pale Kijitonyama na Mwanafunzi wa SAUT ....TULIZANA!!!
You need to see experts asap
Sikia,, dont rush into dating a woman with expectation ya kuwa labda huyo ndiye utakaye muoa,, utaendelea kuwa disappointed na kumuumiza huyo mdada utakayemdate akijua utamuoa... ni hivi take ur time find urself a friend on platonic basis na ujifunze frm her na kama ukiona hamna so much in common then dont push that relationship forward do that with several girls and i believe eventually u will meet ur match.. And one most important thing Pray about it on daily basis... Good luck
Tatizo lako hupendi ila unatamani, ukishatimiza haja zako za mwili huna haja na huyo mwanamke tena, na wasichana wameshakujua tabia yaako sasa wanakutumia kama ATM nao wakifikiri baadaye utawaoa kabisa kume lol.Wadau,
Umri wangu ni miaka 31 na sijaoa wala hata kufikiria hiki kitu kwa hata miaka mitano ijayo.
Tatizo langu kubwa ni kua toka nlivyoachana na Msichana mmoja hivi yapata miaka mitatu iliyopita nimekua ni Mzee wa "Hit (Eat) and Run" toka miaka hiyo mpaka sasa.
Nimeshakua Na Wasichana zaidi ya watano toka Mwaka 2010 Na wote kwa sababu moja ama ingine tumeachana. Baadhi ya wadau wangu wananiambia kua inawezekana huyo nlieachana nae kabla ya hao naowapitia sasa kaniloga nisipate mwengine ingawa siamini uchawi.
Nikikaa na Mwanamke akfikisha miezi mitano basi ana Bahati sana, na labda atakua mvumilivu sana. Umri unakwenda na Maisha ndio haya.
Nishachangia sana harusi za Wenzangu, kiasi kwamba sasa nao wanamazimisha kunichangia sasa kwa mtu ambae hayupo.
Ndugu na Dada zangu wameshatambulishwa sana mashemeji na mawifi wapya kila kukicha mpaka sasa naona aibu mbele zao.
"Law of Diminishing Marginal Utility" imenia-affect kiasi cha kwamba kumchoka demu mapema ni jambo dogo tu. Wadada wengi wamebaki na vilio baada ya ndoto zao za kuolewa nami kuishia hewani, naona sana Huruma kwa hili but sijui nifanyaje??
Nimekwama kwa hili, nahisi maisha yangu hayatakua mazuri huko mbeleni. Ninaweza kua Na physchological problem, but sijui hata nilitibuje hili tatizo.
..How I wish I could like this piece of advice....too bad am on a mobile.
tatizo lako haluhusiani na hao wadada...
tatizo lako linahusu wewe mwenyewe na ndoto zako za maisha
ukifika wakati utajikuta tu comfortable ku settle.....na yeyote available utatulia nae..
wewe una issues zako binafsi....zinakuhangaisha...
Wadau,
Umri wangu ni miaka 31 na sijaoa wala hata kufikiria hiki kitu kwa hata miaka mitano ijayo.
Tatizo langu kubwa ni kua toka nlivyoachana na Msichana mmoja hivi yapata miaka mitatu iliyopita nimekua ni Mzee wa "Hit (Eat) and Run" toka miaka hiyo mpaka sasa.
Nimeshakua Na Wasichana zaidi ya watano toka Mwaka 2010 Na wote kwa sababu moja ama ingine tumeachana. Baadhi ya wadau wangu wananiambia kua inawezekana huyo nlieachana nae kabla ya hao naowapitia sasa kaniloga nisipate mwengine ingawa siamini uchawi.
Nikikaa na Mwanamke akfikisha miezi mitano basi ana Bahati sana, na labda atakua mvumilivu sana. Umri unakwenda na Maisha ndio haya.
Nishachangia sana harusi za Wenzangu, kiasi kwamba sasa nao wanamazimisha kunichangia sasa kwa mtu ambae hayupo.
Ndugu na Dada zangu wameshatambulishwa sana mashemeji na mawifi wapya kila kukicha mpaka sasa naona aibu mbele zao.
"Law of Diminishing Marginal Utility" imenia-affect kiasi cha kwamba kumchoka demu mapema ni jambo dogo tu. Wadada wengi wamebaki na vilio baada ya ndoto zao za kuolewa nami kuishia hewani, naona sana Huruma kwa hili but sijui nifanyaje??
Nimekwama kwa hili, nahisi maisha yangu hayatakua mazuri huko mbeleni. Ninaweza kua Na physchological problem, but sijui hata nilitibuje hili tatizo.
Uamini uchawi, unaishi mbinguni? Rais wako tu anaroga pamoja na wabunge na viongozi wote serikalini, acha kutuzuga hapa. Usiporoga wewe juwa wenzako watakumaliza, shauri lako.
Sasa nifanyaje mkuu? nishauri pia, usiishie kunilaumu tu.
Nimekata shauri niachane nao kwanza ili nishughulikie mambo mengine ya Kimaisha although umri unakwenda but no way.
After 2-3 years nitaangalia kama huu mpango umelipa!!