Wadau,
Umri wangu ni miaka 31 na sijaoa wala hata kufikiria hiki kitu kwa hata miaka mitano ijayo.
Tatizo langu kubwa ni kua toka nlivyoachana na Msichana mmoja hivi yapata miaka mitatu iliyopita nimekua ni Mzee wa "Hit (Eat) and Run" toka miaka hiyo mpaka sasa.
Nimeshakua Na Wasichana zaidi ya watano toka Mwaka 2010 Na wote kwa sababu moja ama ingine tumeachana. Baadhi ya wadau wangu wananiambia kua inawezekana huyo nlieachana nae kabla ya hao naowapitia sasa kaniloga nisipate mwengine ingawa siamini uchawi.
Nikikaa na Mwanamke akfikisha miezi mitano basi ana Bahati sana, na labda atakua mvumilivu sana. Umri unakwenda na Maisha ndio haya.
Nishachangia sana harusi za Wenzangu, kiasi kwamba sasa nao wanamazimisha kunichangia sasa kwa mtu ambae hayupo.
Ndugu na Dada zangu wameshatambulishwa sana mashemeji na mawifi wapya kila kukicha mpaka sasa naona aibu mbele zao.
"Law of Diminishing Marginal Utility" imenia-affect kiasi cha kwamba kumchoka demu mapema ni jambo dogo tu. Wadada wengi wamebaki na vilio baada ya ndoto zao za kuolewa nami kuishia hewani, naona sana Huruma kwa hili but sijui nifanyaje??
Nimekwama kwa hili, nahisi maisha yangu hayatakua mazuri huko mbeleni. Ninaweza kua Na physchological problem, but sijui hata nilitibuje hili tatizo.
Nahisi labda pengine napokua nafanya selection ya next gf, sifanyi assessment ya kutosha labda
muhuni tu huyo,,,,,,Yani tatizo lililopo ni kukinai....ukimpata mpya baada ya miezi 5-7 unakinai kwa maana unataka tena mpya! ingekua haujiskii kuwa na mwanamke kwangu kidogo ingeleta sense, ila wewe ni kwamba unataka kitu kipya! Kwa maana hii sidhani kama una psychological problem, kaka mwili wako umeji-tune kuwa na tamaa flani hivi na kutokua na hali ya kuridhika.
May be chakufanya ni kutulia na kutafakari but just b easy usiwaze sana jiweke sawa na kuwa na moyo wa kuridhika na kile unachokipata then angalia yupi atakae kufaa na anza kuzoeana nae kwa muda mrefu kimahusiano zaidi na sio ki ngono zaidi.
All the best,
ivi assessment si hii "upembuzi yakinifu"?
muhuni tu huyo,,,,,,
Sawa bwana kama ndio tafsiri iliyopo,Well said my dia..
Huyu bwana anaonekana anapenda sana ngono..just to say the truth..
Ni kweli kabisa kama unampenda binti just for ngono lazima "Law of Diminishing Marginal Utility" ita'apply' tu..
Jipe likizo ya ngono bwana hata mwaka mzima..
Kwahiyo unataka kudanganya watu kuwa kwa tabia kama za huyo mwenzio unaweza kukaa mwaka mmoja bila sex? Au kuwa single maana yake ni nini? Au ni kutokuwa na mwanamke maalum isipokuwa kila siku unachapachapa tu yeyote utakayemkamata?niko na tatizo km lako but kwa sasa nimeamua kuwa single angalau kwa mwaka mmoja,i blive next relationship nitakayokuwa nayo itadumu zaidi,and my b italeta ndoa.
Ahaaaa, kumbe umeshajua tatizo lako ni lipi. Sasa nakushauri utafute K isiyokuwa kwa Mtu maana wewe huwa unakinai Mtu na sio K! Hiyo inaitwa The Law of Reversing Problems! Upo hapo bingwa?Sawa bwana kama ndio tafsiri iliyopo,
But ningekua apenda lile tendo tu la ngono nisingejishughulisha kua nao kimahusiano, ningenunua tu niepuke stress na kubanwabanwa. real napenda nipate wa kimahusiano zaidi kuliko kingono, sema sasa ndio nakinai (Mtu, sio K) mapema!!!
Ahaaaa, kumbe umeshajua tatizo lako ni lipi. Sasa nakushauri utafute K isiyokuwa kwa Mtu maana wewe huwa unakinai Mtu na sio K! Hiyo inaitwa The Law of Reversing Problems! Upo hapo bingwa?
when poverty enters through the door love escapes through the window!!!!
Kaka,
Sijisifu, but Poverty v/s Mimi
=Mbingu v/s Ardhi.
nawiwa kusema kuwa wewe ni maskini wa akili fikra na roho ,ni chungu lakini mezeeaaaaa na konokono kwani atalitelezesha