Miezi 9 iliyopita tuliambiwa Dr Dau aliacha Mfupa NSSF, sasa hivi ina Trilioni 7!!

Watu wanachuki chuki chuki tu lakini Mwenyezi Mungu ni Mwema Siku zote
 
Chuki zako hazitasaidia kitu kama fisadi mbona hamumpeleki ktk mahakama ya kifisad mlioiazisha? Chuki zako za kidini hazisaidii kitu.
 
Kwani MTU hawezi kusifiwa au kupobdwa mpaka utie element za kidini? Kama kuna watu walimponda au kumsifia walifanya hivyo kama ilivyokuwa hada ya kulaumu au kusifia bila kutaja imani ya MTU watanzania tuache kukimbilia udini Kwa kila jambo linahusu kujenga taifa.
 
Skeletoni ya tembo na ya sungura zaweza kulinga kwa ukubwa? Ndio zote ni skeketoni na ni mifupa.

Na washawasha!
 
Sawa SHEHE, tumekusikia ila pia unahitaji elimu kuhusu mifuko ya hifadhi ya jamii, nssf haiwakilishi mifuko yote!
 
Awamu iliyopita ililea rushwa. Kukusanya 7 trillion sio issue....kama mnabisha nendeni dege beach mkaone madudu ya NSSF kwenye miradi ya kifisadi

Sent from my SM-J700F using JamiiForums mobile app
 
Hakuna alikosema limeleta faida Bali wanakusanya,kama dau ange invest ktk business ambayo ni viable am sure in six yrs time hela ingerudi na faida lukuki
Kama investment ya halali IPI unayoweza kuinject 264b halafu baada ya 6yrs Iwe imerudisha ktk nchi kama tz?!naomba nisaidie mfano dadaangu!tena yenye very low risk.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dr Dau Chapa Kazi Wapiga Deal Ndiyo Wanahaha Sasa Hivi Haa!!
Kumbe Naye Mpiga Deal
 
Abbas hadi sasa umeamini bwanako dau atatua kisutu au bado?
 

Hyo kigamboni itarudisha pesa ktk mda gani, na je kuna uhalisia wa, fedha ilowekezwa na hali halisi, na je miradi ya 7 trilion udukuaji wake ni shs ngapi na RRI ikoje, dau kanufaikaje hapo, kama si mwiz tuona kama lile girofa ada estate litamalizwa nyau yule
 
Watanzania hatuendelei siyo kwa uongozi mbaya bali roho mbaya.Mtu anafurahi akimwona mwenzake anasumbuka na kuteseka.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama yeye alifurahi kuwatesa wengine wao roho zao zinasukuma maji na sii damu ee, yule jamaa ametesa watanzania wengi kwa kutumia udhaifu wa mamlaka ilokuwa juu yake, hata walosimamishwa na hatimae kuondoshwa ni kwa sababu ya huyu hayawani
 
It is nonsense to boast in the media that social securities funds have a diversified investments portfolios worth 7.1 trillion whilst they core functions have myriads of operational problems. Their members who have lost their jobs on organizational operation requirements are suffering, dying, being embarrassed, for a very simple reasons that they should wait till they turn to 55 years of age to draw their money. THIS IS SHAMEFUL
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…