Habari wakuu,
Me nna swali hapa. Samsung wanatabia ya kutoa smartphone then later wana release product kama ile ile but wanaweka ubini wa "mini".
Mfano hizi nilizosoma gsmarena dot com kua S-IV inaandaliwa mini. Mi nkawa najua mini ni something ndogo hivi, but nashangaa kuona wanasema itakua na 4.3" AMOLED screen. Tofauti ya .6" from S-IV. Mbona ata hiyo mini yao bado kubwa tu? Nadhani screen kubwa than i5. Pia kw ukubwa uo si itakua kama S-III au S-II jamani?
So wasiwasi wangu hii "mini" inamaanisha nini?
Udogo wa Size au Specifications and hence bei ili ata walala hoi tu afford?
mkuu maana ya mini ni hii
''reduced size in comparison with others of
its kind
hapa ina maanisha kama galaxy sIV ina 4.99 inch ukubwa wowote kuanzia 4.9899999999999........... Hio ni mini.
Kwa kioo cha 4.3 inch kua mini ni sawa maana s4 yenyewe ina 4.99
sema ukija kireality zaidi unakuta hizi mini ni kama kuwachanganya wateja maana wapo watouziwa galaxy sIV mini kwa price ya sIV yenyewe bila kujijua.
Kwa mfano S4 sio 6" ni 4.99" au unaweza kusema tu 5".kama ipi na ipi mkuu Millah. Nimezipata nyingi apo gsmarena
Kwa mfano S4 sio 6" ni 4.99" au unaweza kusema tu 5".
Ni 4.99" sio 4.9, kwa hiyo ni karibu na 5" kuliko 4.9Aahh kaka nimesema mini na S-IV zina different ya .6" (point 6 inch au niseme 0.6") maana S-IV yenyewe kama ulivosema ina 4.9" hafu mini ina 4.3 ukitoa unapata .6" au sio? Pamoja kaka Millah
mkuu ameandika .6 akimaanisha 0.6 angalia kwa nyuma kuna nukta. 0.6 ni difference baina ya galaxy s4 na s4 mini.
4.9-4.3=0.6