Midume Tena: Kifaa hicho Sio Mchina

Mwanaume mwenye kufikiri sawasawa hatawaza kupeleka matatizo kama haya nyumbani kwake kama mke. Too much and too little is harmful. Na kitu ikishakuwa too much au extreme ni sumu. Kwa wale ambao hawajaoa watajaribu kunipinga ila waliooa watakubaliana nami kuwa ukiwa na lady kama huyu and you're in your 40s sio rahisi tena kupangua gia kama ulivyokuwa 30s. Tafuta kitu ambacho ukianza nacho safari ya maisha mtamaliza pamoja kwa maana ya mtu utakaye mmudu maisha yako yoote
 
inahitahi moyo kuwa nao hao kama housegirls!! na ndoa lazima mgogoro uwepo!!
 
inahitahi moyo kuwa nao hao kama housegirls!! na ndoa lazima mgogoro uwepo!!

Hadi house girl wa hivyo anaingia ndani mimi nipo wapi? na ajira ya house girl inanihusu mimi mama. jamani vitu vingine havijaribiwi HANA NAFASI KWANGU kazi ya ofisini inanitosha nirudi nyumbani tena nianze ya uchungaji siwezi
 
Mwanamke uwe na shepu bwana, sio mita..ko kama kontena hadi inachusha. Huyo kachusha. Na hapo ndo ndo ana nguo akizivua hayo mabonde na milima haina mvuto kabisaaaaaa
 
MziziMkavu na maugonjwa yake lol! muajiri tu Dr

uyu sasa mbona tena hajapendeza?
afu asingeweka ayo manywele ya kichina kidogo angeonekana ila alaaivyoyaweka lol!!
ata mie namzidi kiukweli............................kwa uzuri ila sio wowowo
 
Reactions: BAK
Umeona eeh! Hayo ndiyo maugonjwa ya Dr MziziMkavu, Khe Khe Khe ngoja waje wakwambie weka picha la wowowo lako na ukiweka, kosa! Wapenda migongo wataweka maskani kwenye pm yako lol!

uyu sasa mbona tena hajapendeza?
afu asingeweka ayo manywele ya kichina kidogo angeonekana ila alaaivyoyaweka lol!!
ata mie namzidi kiukweli............................kwa uzuri ila sio wowowo
 
Last edited by a moderator:
Mhhhhh hapo MCHINA kesha fanya mambo yake, subiri uone yatakavyopolomoka
 
Wanawake wengine huonekana na mvuto wakiwa wamevaa nguo, wakivua ni kituko, hasa hawa "mabonge"!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…