Midlife Crisis: Life Begins at 40

Asante Mkuu.
Hivi kuchukua notes kwenye hotuba ni ku copy? [emoji28]

Ndio mkuu! Plagiarism hiyo lkn! Km mkumrefers huyo mwenye hotuba then hujacopy bali umefanya literature review![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
I'm approaching 40, kitu kinachonishangaza ni muda kwenda fast,, honestly miaka 20 iliyopita imeenda kasi Sana, miaka 20 ijayo nitakua kibibi,I hope haitakwenda fast nijiandae vizuri kuwa bibi😂😊😊😊😊
 
Binafsi, naamini life begins when you Wake Up.

I hope hii sentensi ina maana zaidi ya moja mimi naamini life begins when you ask why yaani why zikishakuwa nyingi lazima kielewekee!
 
I'm approaching 40, kitu kinachonishangaza ni muda kwenda fast,, honestly miaka 20 iliyopita imeenda kasi Sana, miaka 20 ijayo nitakua kibibi,I hope haitakwenda fast nijiandae vizuri kuwa bibi[emoji23][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]
Kwa kawaida ukiwa busy lazima utaona muda unakimbia sana kwa sababu ya majukumu lakini ulivyokuwa mdada ulikuwa upo tayari kupoteza muda makusudi ili ufike muda fulani ufanye Jambo unalolipenda lakini twende mbele turudi nyuma ukiwa kwenye matatizo utaona muda hauendi kabisa!
 
Hauko sahihi mkuu, ukiwa na matatizo muda unaenda fast kabla hujayatatua😊😊
 
Wewe hujawahi kumbwa na balaa zito katika maisha yako unapokuwa na matatizo unakuwa na msongo wa mawazo kama let's say umehukumiwa miaka 30 jela muda uraendaje fast ili utatue hilo tatizo?
Mnhhhh mfano wako na midlife crisis wapi na wapi? Lol
 
Mnhhhh mfano wako na midlife crisis wapi na wapi? Lol
Labda tunapishana uelewa

Midlife crisis ni mgogoro wa kimaisha kuelekea uzeeni katika hali hiyo maana yake akili yako haipo sawasawa na inaweza ikakusababishia matatizo ya aina yoyote ile!
 
Hivi ni kawaida mfano kufikisha miaka 30 na bado haina chochote cha kueleweka ulichofanya ..hii hali huwa unaweza vipi kupambana nayo? Labda unakuta nyuma una deni kubwa umebeba labda la wazazi, wadogo zako labda au ndugu zako wengine wanàkuangalia wewe na hapo unakuta ni bila bila..
 
I'm approaching 40, kitu kinachonishangaza ni muda kwenda fast,, honestly miaka 20 iliyopita imeenda kasi Sana, miaka 20 ijayo nitakua kibibi,I hope haitakwenda fast nijiandae vizuri kuwa bibi[emoji23][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] natamani nibaki hivi, nisiongezeke umri, actually 40 is perfect age, not young not old...upo kati hapo, akili imetulia.....
...bad thing is, 20yrs to come hamna kitu tena...babu WTF maisha haya!!!
 
Wanakunyoosha kivipi? Ajira au?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…