donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,140
Wanaume wa Dar wanafanya diet wasipige kimoja ili muache kuwasema semaMkuu Mahindi bei rahisi hivi ,na bado unakula kaugali kadogo hivyo ,hako kaugali ni tonge moja kwa mwanaume wa mikoani haha
Wanaume wa Dar wanafanya diet wasipige kimoja ili muache kuwasema sema
Hahah sasa apo cha kuupa mwili nguvu bado kinauitaji mkubwa ili walau kupiga tatu nakuendeleaWanaume wa Dar wanafanya diet wasipige kimoja ili muache kuwasema sema
Ayaaaa, sasa hapo ndio nakufa baisa. jamani napenda sana hiyo kitu. Du hadi mate ya mdomo wa juu yamenitoka
Mdomo wa chini uko salama?Ayaaaa, sasa hapo ndio nakufa baisa. jamani napenda sana hiyo kitu. Du hadi mate ya mdomo wa juu yamenitoka
Utanitoa roho babu ujue
Huo utapata shida nikiwa jukwaa lileeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee🙄🙄🙄Mdomo wa chini uko salama?
yes ht ugali hauna ushirikianoMwanamke kabsaa kapka hzo dagaa zinaelea kama ziko ziwan na ugali umechambuka chambuka kama wali wa juzi! Laaaa🤣🤣🤣
Hahahahamhhh dagaa wa mchuzi??!arghh!alafu vibakuli hvyo arghhh!...mamchuzi ya nn kwa dagaa? bila shaka alopika ni mhehe...lol!enjoy le boss himself!don letu!
Hakyanan umeotea kwenye mpishi aiseemhhh dagaa wa mchuzi??!arghh!alafu vibakuli hvyo arghhh!...mamchuzi ya nn kwa dagaa? bila shaka alopika ni mhehe...lol!enjoy le boss himself!don letu!