Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,280
- 44,418
Nionavyo
Microsoft ataongeza wahamiaji wengi! Watakaotoka Android Na iOS pamoja na watumiaji wapya kabisa a WP!
Lakini kuwapita android itachukua Muda kidogo mana watu wengi waliishakuwa na interest kwenye android na wengine walitamani sana Kuijaribu!
Hivyo hii ita mpa mwanya mkubwa sana na kuwapa changamoto Android na iOS ingawa nao hatujui watatuletea nini sasa!
Si unajua hawatakubali tutashangaa tu nao wamefanya yao
Na Shukrani ziwaendee Google kwa kuipnga kabisa Dual OS (huawei) mana ingeleta shida sana!
BTW
ametisha sana kwenye One app Store
nimeipenda sana hiyo Cortana!
Huyu atanivuta soon baada ya kuleta apk nyingi za bure, ila kama atakomaa na ubepari wake mmmh ntabaki android maana atakama anauza bado kuna 4shared, blackmart na madudu mengine.
APK ni android file package! Haiusiani na WP!
.
.
Kwaio hujaelewa mantik yangu
WP wanakazi kubwa sana kunivuta
Hapo ndipo ugomvi ulipo, ikiwa watabadili hiyo UI yao ya tiles nitafunga harusi nao, mi ni kati fans wakubwa wa nokia ila walivyohamia tu WP hamu ikaniisha ingawa sikuwatupa kabisa ninayo asha 210, nikajipa matumaini baada ya kusikia simu za nokia android zinatoka, wakazileta lakini UI ikifanania kwa mbali na WP, nikaona ni yaleyale WP UIwewe najua una ugomvi na tiles, tuombe hio windows treshold ya mwakani waeke option ya icon kwenye wp kama rumors zinavyosema
WP wanakazi kubwa sana kunivuta
Hapo ndipo ugomvi ulipo, ikiwa watabadili hiyo UI yao ya tiles nitafunga harusi nao, mi ni kati fans wakubwa wa nokia ila walivyohamia tu WP hamu ikaniisha ingawa sikuwatupa kabisa ninayo asha 210, nikajipa matumaini baada ya kusikia simu za nokia android zinatoka, wakazileta lakini UI ikifanania kwa mbali na WP, nikaona ni yaleyale WP UI
ngoja mi ntajaribu ku install backtrack tena kwenye Droid mana!
Hii divice ya Nokia
hawatonikamata kwa $1000
A mobile-phone-based pentesting
platform
Includes Aircrack-NG, Metasploit,
Kismet, GrimWEPa, SET, Fasttrack,
Ettercap, nmap, and more
Custom pentesting desktop with
shortcuts to all tools!
One-click evil AP, WEP cracker, and
packet capture!
Built-in wireless chipset supports
packet injection, monitor mode,
and promiscuous mode.
Includes phone, all standard
accessories, 2 batteries, & coupler
for USB host mode.
hio ni n900 legendary. jamaa wanachangishana watengenezewe mpya yenye specs kubwa zaidi. sasa hivi washaiport kernel ya ios kwenye n900
Bora wachangishane tu maana Nokia wameishaiweka kando!
Na ni Bonge moja la simu ever!
Naona kunajamaa wana fight kuipa Android OS!
Mana maemo wengi hawakuipenda wakaipa cssu thumb ambayo ni bonge moja la Os na inaruhusu ku run Run whatsapp yao waniita yeriyeri sijui!
Na gharama hiyo ya $1000 ni kuna jamaa wanajiita pwn express wanafanya free shipping na hapo ilipo wanaiita pwned Nokia N900 ikijumuisha na hizo Tools kwaajili ya pentesters!
Afu chief hivi bado Microsoft wataendelea kutumia brand ya NOKIA LUMIA au ?
nokia x series za china ziliuzwa na custom os inaitwa lewa hazikua na ile ui. kama nokia mwenyewe ameship na custom os tegemea hii simu iwe very easy kuchakachulika. na hii lewa ina miui icons ambazo mimi siwezi tumia simu bila hizi icons. cheki screenshot ya hii lewa os.
Hizi hata wakileta huku nitanunua ila hiyo lugha sasa maana naona kichina tupu
Najaribu kukutumia PM naambiwa mpaka ufute zingine kwa sababu huna nafasi ya kupokea PMlugha unachagua tu sababu zilikua ni nokia za kuuzwa china thats why unaona kichina.