Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,229
- 44,239
kesho zamu ya Apple mkuu, muda kama huu tutaona na yeye atazindua nini.Ukitoa hizo features za dial,28 inches monitor haina tofauti yoyote ile na imac..
Mac haina touch walla stylus support kwa ninavyoelewa.Ukitoa hizo features za dial,28 inches monitor haina tofauti yoyote ile na imac..
kwanini unasema hivyo? kuna maeneo kibao microsoft yupo juu ya apple kamaBahati mbaya Microsoft amekuwa akimkimbiza Apple lakini hampati, hii ni kwa sababu yeye ndo anamkimbiza
Ukiangalia hivi vyote hakuna Apple anachomuiga Microsoft, Microsoft amekuwa akimuiga Apple huku akitarajia kumpita kwa kile anachomuiga Apple, mfano mzuri ni kwenye surface pro vs MacBook prokwanini unasema hivyo? kuna maeneo kibao microsoft yupo juu ya apple kama
-gaming
-enterprises
-office na productivity
-desktop & laptop na soko la pc kwa ujumla (windows)
-server
-cloud etc
mkuu surface si tablet?Ukiangalia hivi vyote hakuna Apple anachomuiga Microsoft, Microsoft amekuwa akimuiga Apple huku akitarajia kumpita kwa kile anachomuiga Apple, mfano mzuri ni kwenye surface pro vs MacBook pro
Sent from my HTC_A9u using JamiiForums mobile app
ni kweli ila haiondoi fact kwamba hio ni replica ya imac..Mac haina touch walla stylus support kwa ninavyoelewa.
Acha kutoa unazi kama mwanamama wanasukana huko. Hapa tunatoa fact. Nini maana ya replica.? Kaiga nini Microsoft? Ifike muda nyie watu wa apple muwe mnatumia akili zenuni kweli ila haiondoi fact kwamba hio ni replica ya imac..
Mkuu, sorry unaposema kuwa Apple hafanyi utafiti una maana gani!? Mbona bidhaa zake zimekuwa tofauti na wengine kwenye soko, je utofauti huu nani anamfanyia utafiti!? Sawa inawezekana kweli hakuna Apple alichobuni ila amekuwa ni mwanamapinduzi kwa vitu vilivyobuniwa na wengine aidha kwa kuviacha njiani au kukosa uhalisia, mfano mzuri ukitazama kwenye finger print (touch ID), kabla Apple hajaanza kuitumia kuna baadhi ya device za makampuni tayari walishaanza kuzitumia lakini hazikuwa efficiency kama Apple alipointroduce touch ID, baada ya touch ID ndo tukaona wengine wakafuata, pia kwenye high resolution display kwenye simu, iPhone 4 retina display ndo simu ya kwanza kuwa na resolution kubwa ndo zinafuata simu nyingine ambapo leo tunazungumzia 4K display ni mifano michache tu ya Apple kufanya mapinduzi kwenye mifupa iliyowashinda fisi na kuifanya stekimkuu surface si tablet?
na microsoft na patners wake wana tablet kabla hata ipad ya kwanza haijatoka
hapo ni mwaka 2002 bill gate akizindua tablet, sema tablet za windows zilikuwa limited kwa proffesional tu kama vile graphics designer na wanaofanya modelling za 3d
kama unataka mambo ambayo microsoft amefanya mwanzo na apple akaiga haya hapa
1. Flat UI
mwaka 2008 kama sijakosea jamaa anaitwa Terry Myerson alileta idea ya windows phone na Flat ui kwa ujumla na microsoft kuhamia huko, japo product zao za zamani kama Encarta na Zune zilikuwa ni flat ila huyu jamaa alileta mkazo zaidi tukaona os kama windows 8 zikienda flat. baada ya flat UI kuwa maarufu Apple akacopy kuanzia ios 7
2. Ipad pro ni attempt ya Apple kujilinda na threat ya surface pro ina vitu kibao vya surface pro ikiwemo keyboard na kalamu wakati hata hakuna os feature inayofanya hivyo vitu viwe special
http://www.zdnet.com/article/to-save-the-ipad-apple-needs-to-copy-microsoft
3. microsoft walikuwa na windows mobile way before iphone ya kwanza
mkuu kifupi Apple sio mgunduzi wa vitu, anaishi kwa kucopy wenzake angalia hata budget zao za research miaka na miaka wanatumia visenti tu kwenye research je watagunduaje vitu? nafkiri ni mwaka jana/huu tu ndio Apple atleast anaspend bilions kwenye research.
angalia teardown za Mac 100% ni vitu ambavyo havitoki Apple wamekusanya tu wamevieka pamoja ikawa computer
https://www.google.fr/url?sa=t&rct=...2PUqLmvGEhyK6_NeA&sig2=CIdA-5tdXKNV9icre030Fg
https://www.google.fr/url?sa=t&rct=...2PUqLmvGEhyK6_NeA&sig2=CIdA-5tdXKNV9icre030Fg
Mkuu, sorry unaposema kuwa Apple hafanyi utafiti una maana gani!? Mbona bidhaa zake zimekuwa tofauti na wengine kwenye soko, je utofauti huu nani anamfanyia utafiti!? Sawa inawezekana kweli hakuna Apple alichobuni ila amekuwa ni mwanamapinduzi kwa vitu vilivyobuniwa na wengine aidha kwa kuviacha njiani au kukosa uhalisia, mfano mzuri ukitazama kwenye finger print (touch ID), kabla Apple hajaanza kuitumia kuna baadhi ya device za makampuni tayari walishaanza kuzitumia lakini hazikuwa efficiency kama Apple alipointroduce touch ID, baada ya touch ID ndo tukaona wengine wakafuata, pia kwenye high resolution display kwenye simu, iPhone 4 retina display ndo simu ya kwanza kuwa na resolution kubwa ndo zinafuata simu nyingine ambapo leo tunazungumzia 4K display ni mifano michache tu ya Apple kufanya mapinduzi kwenye mifupa iliyowashinda fisi na kuifanya steki
Hahaha mkuu bwana JOB ni bonge la designer na mjasiriamali hana lolote mbele ya bill gates ambae anashusha code za kufa mtu na ana mathematical knowledge hatari ndo maana hadi leo excel ni tegemeomkuu kuna design na ugunduzi, apple wana design nzuri hilo ndio jibu kwanini vifaa vyao vipo tofauti, wana poach designer wazuri toka makampuni mbali mbali, angalia hata yule jamaa wa camera walie mchukua toka Nokia alikuwa ni designer wameacha wafanyakazi wote ikiwemo wagunduzi wakamchukua designer. Angalia hata ndani ya Apple leo hii ukiwatafuta watu wenye uelewa wa mambo ya Tech utakuta wanamjua CEO yaani COOK na mwengine ni John IVE ambae nae ni designer. Miaka yote Apple wana co founder wawili ambao ni WOZ na JOB ila siku zote anaesemwa ni JOB ambae ni designer. so Apple wao ni kudesign tu.
kuhusu display ndio iphone ilikuwa ya kwanza kutoa display yenye resolution kubwa lakini haikukaa sana samsung wakatoa galaxy s2 yenye HD display na kuanzia hapo Android ikatawala display zenye resolution kubwa.
na kuhusu display pia usisahau simu za maemo ambazo zina resolution kubwa way before iphone ya kwanza haijatoka kama vile Nokia n900, pia Nokia E6 ilikuwa na ppi ya maana sababu ilikuwa na display ya 360p huku kioo kikiwa kidogo 2.4 kama sijakosea
kiufupi HD zipo toka 1998 hivyo si jambo geni
na Apple anahusika vipi na 4k? Apple si kampuni ya display na hata hio iphone 4 walinunua display toka Sharp kama sijakosea