Mi simshangai mshana jr.... Hakukuwakimbia peka ake... Vijana wa Dar es salaama bana...!!! Wakija huku kwetu hujiona wajanja, wanataka kuanzisha mafujo tu sehemu za starehe, wakati Dar walivikimbia vitoto 15 vilivyobeba fimbo tu.. Sasa ndo anakuja kuanzisha vita bar za Taarime... Viiita ni viiita muuraaaa!!!!!!