Relativity
Member
- Aug 10, 2014
- 60
- 15
Habarini wakuu, ni wap naweza kupata microsoft lumia 950/950xl hapa dar maana online (jumia,kaymu,kupatana) zijaziona ?
midcom mikocheni umeenda? hao ndio mawakala. adress yao hii hapa
MIDCOM TANZANIA LIMITED
Magore Street,
P.O. Box 76764, Dar Es Salaam
2122035
+255 (22) 2122048
www.midcom.co.tz[/Mkwawa hebu nisaidie upande wa update Mpya w10 nashindwa kabisa kuelewa kwani fonts size licha ya kuweka kuwa high upande WA explore. Lakini naona bhado maandishi Ni madogo Sana nifanye nini kuyakuza