Wachina wanakosa raha sana
sipendi siasa kweli. watengeneze yao tutawapa support na sio kurudisha nyuma wenzao
kickass kuna jamaa aliupload windows 7 yenye features za windows 9...nimeshajichukulia copy ila sijainstall coz ni ya 64 bit...hawa jamaa....
Wachina na Urusi wakiungana wanaweza tengeneza zao na kuiweka sokoni hata wakitumia wao wenyewe bado market yao ni kubwa sana
Mjomba mchina ni kucopy tu, akili zao zimeshajitune kwenye kucopy copy tu! Kila technology wanasubiri itoke kwa mzungu wao wacopy na kuweka kwa lugha yao nzima nzima kwa version itayotumika china. Kwa version watakayotoa wanaadjust kidogo kiwiziwizi